Natafuta mshirika kwenye kilimo

Natafuta mshirika kwenye kilimo

Sayeda

Member
Joined
Dec 23, 2018
Posts
26
Reaction score
3
Mimi mkulima nina trekta niko wilaya ya Kilombero kijiji cha Miwangani , mshirika atatoa pesa ya kukodi shamba tuanze na ekari 10 wakati wa Kiangazi sehemu za mabonde kuna maji yanaivisha mpunga mwezi wa Novemba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom