Natafuta mshine ya kusaga mawe

Natafuta mshine ya kusaga mawe

Makanyagio

Senior Member
Joined
Jun 25, 2009
Posts
125
Reaction score
33
ni mashine gani nzuri (kwa maana ya utendaji kazi wake, matumizi ya umeme, uimara na kutoa kazi safi)ya kusaga mawe kupata kokoto, naweza pata wapi. kama unajua bei unaweza nipa dokezo ili nisipigwe za uso. Asanteni
 
unatafuta yenye uwezo wa kusaga tani ngapi at once? zipo kuanzia kilo 50 mpaka tani 20..

Rock_crushers_recycling_plants_and_mining_equipme.jpg
$T2eC16N,!zUFIc!4OBJHBSeJ8Wjuk!~~60_35.JPG
 
Back
Top Bottom