makua
JF-Expert Member
- Dec 9, 2013
- 208
- 40
Mimi ni mvulana wa miaka 26.
Nina elimu ya kawaida, Shughuli zangu ni Biashara na ufundi.
Ni mkristo,natamani kuoa ila bado sijampata mwenye target kama zangu that way nko hapa kutafuta mwenye target za kuolewa miez 6 baada ya Kufahamiana na awe tayari kushirikiana nami kujenga familia bora yenye furaha.
Mwanamke mwenyesifa hizi nichek PM au acha email yako kwa mawasiliano.
1. Aji heshimu pia aheshimu wengine
2. Asiwe mvivu ( awe mwenye kujishughulisha), awe mfanya kaz ( mjasiria mali) au awe anasoma college/university
3. Dini yeyote ila awe anaishi kulingana na misingi ya kidini
4. Awe kabila lolote, haijalishi pia asiwe mwenye tamaa za kijinga.
5. Awe na mapenz ya kweli pia awe tayar kupima HIV ikibid hatuto sex hadi tunaoana.
6. Rangi yeyote, mrefu wa wastani pia awe mchangmfu kwa watu wengine.
Kwa mwenye kuhitaji plz nifate PM nkupe mawasiliano na pia upate maelezo zaidi kuhusu hitaji langu.
Niko serious na hili.