Natafuta mpenzi

ni kweli mkuu, japokuwa uzuri wa mwanamke ni tabia siyo sura
 
huwezi kulala njaa, huo ni mtazamo wako, utalala njaa ukipenda mwenyewe. si unajuwa maisha ni kusaka noti

Haina maana sasa kama ni kusaka noti sibora nizisake mwenyewe tu???
 
Reactions: ops
ni kweli mkuu, japokuwa uzuri wa mwanamke ni tabia siyo sura

Hapo ndo unapojidanganya tabia ya nini sasa???
uzuri wa mwanmke ni sura na shape tabia utamrekebisha mwenyewe.....
 
inawezekana kwa mtazamo wako
 
Maisha ni kusaidiana katika kuyasaka mahela, fursa kibao
 
Kwa shahada hiyo sijui kama utawapata.
 

Asante kaka ops.
Hata nami nilikuwa nahitaji mchumba mwenye vigezo kama vyako.
Nina miaka 22, naishi Masaki, sina dharau ila nina maringo kidogo kwa kuwa najijua mie ni mzuri.
Nafanya kazi Tanesco, Kurasini.
Email yangu ni sipendivibamiainch5@gmail.com.
Tutafutane, kuna watu wananililia.
 
Last edited by a moderator:
Wanapatikana bwana.....acha kumtisha mwenzio.
Kikosi cha Mizinga pia tupogo!!!!!

Duuu sina taarifa kama jina limebadilika kuwa KIKOSI CHA MIZINGA!!!!! We mtoto umepinda vibaya mno! Nimechekaje!
 
ok, asante kwa ujumbe wako, nikirudi safari nitakucheki ucjali, ila uwe serious,
 
hicho kikosi cha mizinga ni zaidi M23?
 
kazi ipo, kama vile shinda nyumba na Airtel.
 
hiii ndio finale aiseee...lazima akae.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…