Hellow Wadau wa Jamii Forum, habari za leo? Mimi ni kijana wa miaka 28, naishi Ubungo( Dar es salaam) nina shahada ya utatwala, natafuta mpenzi kuanzia 21-28, awe na elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea na awe na sifa zifuatazo, mkweli, awe na heshima, asiwe na majivuno au dharau, kama una sifa hizo nicheki kwa Email address mhassani84@yahoo.com
mbona sijaona criteria ya BIKIRA? au wewe hupendi hiyo makitu?Hellow Wadau wa Jamii Forum, habari za leo? Mimi ni kijana wa miaka 28, naishi Ubungo( Dar es salaam) nina shahada ya utatwala, natafuta mpenzi kuanzia 21-28, awe na elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea na awe na sifa zifuatazo, mkweli, awe na heshima, asiwe na majivuno au dharau, kama una sifa hizo nicheki kwa Email address mhassani84@yahoo.com
Aisee bado, inakuwa ngumu kidogo kumpata yule anayekupenda kwa dhati,
mbona sijaona criteria ya BIKIRA? au wewe hupendi hiyo makitu?
Na hapo ndo wenye vigezo vyetu tutakapojitokeza
Siwezi kusema nina kipato kiasi gani naogopa utapeli wa mapenzi, wengine wanajali pesa kuliko utu,
Siwezi kusema nina kipato kiasi gani naogopa utapeli wa mapenzi, wengine wanajali pesa kuliko utu,