Natafuta mpenzi

Natafuta mpenzi

asante nawe pia
wewe upo single au occupied but available?

available ila naona ushatangaza nia kwa Kumwembe...mapenzi ya kushidana sitaweza! futa thread ile ndo tuulizane haya maswali upya..
 
Mkuu tumekubaliana uniite kama muombaji ana ID ya 2014 or older.


Nilikuwa nakuita kwa atoto yeye ni wa 2013!

Hata hivyo kama una kigezo cha 2014 nahisi utazeeka bro mimi niite akiwa wa 2015, hata kama ni December 31 2015...
 
Habari,

Mimi ni kijana wa Kitanzania Government Servant, ninahitani mwanamke umri 23-30 HIV Negative, Superstitious Negative nikipata mnene mwenye mwili itakuwa safi, kwa aliyetayari.
nilifikiliaa unatutaa mke kumbee watafutaa mpenzi ok nenda tandika kwa WAHAYA utawakutaa wapoo utachaguaa ..
.na kama unatafutaa mkee achaa mawazo hayoo maana kuoa mke kutagharimu zaidi ya mill... lakini ukiendaa palee kwa dada powa elfu 5 tuu mwepesii so ACHAA KUTAFUTAA MKE TAFUTAA MPENZI ILI USIFIRISIKEE
 
Miss Natafuta kulikoni tulishakuaga na wengine walishaanza hitma vipi tena mbona waonekana online au ndio ushauza User yake yenye washabiki wengi kama wale wasnanii Diamond na Kibah
 
Kwa style zako hizi haupati ng'oooo,inaonekana hujui kuijieleza kabisaaa,pole aisee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom