Siku ambayo nlipoteza cm nlikua nahamisha vitu kutoka nyumbani kwenda nlikopata chumba hivyo cm ikapotea nakumbuka siku hio aliniomba kiasi cha pesa kutokana na cm kupotea nkashindwa kumtumia kwakua namba ilikua kwenye cm baada ya kupata cm nkaingia jf kwenye pm yangu na kuchukua namba yake na kumtafta chaajabu hakutaka kunielewa tena na kunambia mimi mwongo na hanitaki tena
Mbembeleze tena atakubali tu, kama una niaNdio
Au hajakupenda mkuuNinayo nia nae kweli na nlikua kwenye utayar lakini ndio uamuzi wake kua nsimsumbue tena
Hi wapendwa,
Natafuta mwanaume mwenye sifa zifuatazo; Awe muislam, umri miaka 23-35, awe anafanya kazi na mwenye mapenzi ya kweli na si kudanganyana.
Mwenye sifa hizo anifollow pm
Nchilam tenaHi wapendwa,
Natafuta mwanaume mwenye sifa zifuatazo; Awe muislam, umri miaka 23-35, awe anafanya kazi na mwenye mapenzi ya kweli na si kudanganyana.
Mwenye sifa hizo anifollow pm
kazi ni kigezo muhimu sana kwenye mahusiano ya siku hzHi wapendwa,
Natafuta mwanaume mwenye sifa zifuatazo; Awe muislam, umri miaka 23-35, awe anafanya kazi na mwenye mapenzi ya kweli na si kudanganyana.
Mwenye sifa hizo anifollow pm
Loooooooh!!!... Wanaume wa Dar pamoja na udhaifu wao wa kupiga kanusu bao-chali bado wana soko!!!? Real?Jaman ngoja niwekw waz hivi namtak mwanaume anaetok dar n si pengine n pia awe tayari kupima HIV,
Siku ambayo nlipoteza cm nlikua nahamisha vitu kutoka nyumbani kwenda nlikopata chumba hivyo cm ikapotea nakumbuka siku hio aliniomba kiasi cha pesa kutokana na cm kupotea nkashindwa kumtumia kwakua namba ilikua kwenye cm baada ya kupata cm nkaingia jf kwenye pm yangu na kuchukua namba yake na kumtafta chaajabu hakutaka kunielewa tena na kunambia mimi mwongo na hanitaki tena
Mkuu huwezi jua inawezekana akawa mke mwema.
Jaman ngoja niwekw waz hivi namtak mwanaume anaetok dar n si pengine n pia awe tayari kupima HIV,
Kweli Hizi ni Dalili za Mwisho wa Dunia..Akitoka dar kuelekea wapi
Kweli Hizi ni Dalili za Mwisho wa Dunia.Hi wapendwa,
Natafuta mwanaume mwenye sifa zifuatazo; Awe muislam, umri miaka 23-35, awe anafanya kazi na mwenye mapenzi ya kweli na si kudanganyana.
Mwenye sifa hizo anifollow pm
Sema genge lako,,,,anyway genge lako linaitwaje??Natafu wafanyakazi wawili wa kike Kwenye supermarket yangu..
Hapo umekosea, mtu anayeruhusiwa kuoa wanawake 4, hawezi kuwa na mapenzi ya kweli, lazima yawe nusu-nusuHi wapendwa,