Sasa hao watakayejitokeza hapa utajuaje kama hanatofauti na hao wanaokutongoza kila siku?
Utajua vp kuhusu uaminifu wao?
Halaf ukishaweza anza kudate na mtu kwa mfumo huu uliotumia huna tofaut na wale wa kimboka... umeacha wangap mtaani kwenu uje utafute humu???? Ila kama ni biashara tu bas na mm NATAKA
Hii wapendw, natafuta mwanaume mweny sifa zifuatazo; Awe muislam, umri miaka 23-35, awe anafany kazi n mweny mapenzi ya kweli na si kudanganyana. Mweny sifa hizo anifollow pm