Natafuta mpenzi wa kuwa nae nimechoka kuwa mpweke

Hahaa,hili jamaa shemale..yaan unapost na kujijib mwenyewe kwa ID tofaut
Hata wewe jike dume umelishtukia eeeh? Yaani linajikoki lenyewe laivu. ID nyingi ukijisahau ni shida. Badala ya ku log out na kuingia kwa ID nyingine naona limejisahau.
 
ficha upumbavu wako.hyo id ni moja kweli
ina maana mods wangekubali vipi id moja watu waingie mara mbili.
kweli udom hawakukosea kuwafukuza
 
MKUU HAPO KUNA ID MBILI ILA INATUMIWA NA MTU MMOJA WE NENDA KWENYE PROFILE YA HIYO INAYOANZA NA HERUFI KUBWA THEN HIYO YENYE HERUFI NDOGO TUPU UTAKUTA TAREHE ZA KUJIUNGA TOFAUTI HALAFU MOJA IMEONYESHA JINSIA NYINGINE HAIJAONYESHA
CC:mad:MODERATOR
 
inatumiwa na mtu mmoja wewe unamuona hyo mtu
tatizo huku jf watu mnajifanya mnajuuuuuua.wewe unamuona hyo mtu
 
ficha upumbavu wako.hyo id ni moja kweli
ina maana mods wangekubali vipi id moja watu waingie mara mbili.
kweli udom hawakukosea kuwafukuza
Hata uwe na ID mia hiyo ni juu yako na tena log in zote halafu uendelee kujijibu mwenyewe. Zile hamsini jifanye mwanaume na zingine hamsini jifanye mwanamke. Uko huru ndugu na huna haja ya kutokwa na mishipa ya shingo. UDOM OYEEE!!!
 
Sasa mbona I'D iliyotoa post siyo inayojibu?
Jamaa kajisahau halafu anatoka povu bure tu. Hata kama ni ID moja mbona majibu mengine ni ya kike kike? Ni mara ya kwanza kuona hapa JF mtu anaweka post halafu anaanza kujijibu mwenyewe tena kwa jinsia opposite na iliyoanzisha thread. Ndiyo maana mdau mmoja hapo juu kasema pengine jamaa ni jike dume. Maajabu ya JF will never end!
 
Mimi mwanaume.
Pia ni watu tofauti
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom