Munkari
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 8,084
- 4,365
Hahahahah Changamkia fursa bahsi teh teh (joking)
Khaaa mi sipendi wa hendsamu wa hivyo nataka ambaye h atazamiki hahaha
Hahahahah Changamkia fursa bahsi teh teh (joking)
Sijui hawa vijana wa kileo watafika wanapoelekea kweli? Hawajui kuna magonjwa ? sasa huyu kijana badala ya kusoma anatafuta mpenzi?? Nimesikitika sana ,...Anatafuta sukari mama huyo si bure!!!!
Sijui hawa vijana wa kileo watafika wanapoelekea kweli? Hawajui kuna magonjwa ? sasa huyu kijana badala ya kusoma anatafuta mpenzi?? Nimesikitika sana ,...
Khaaa mi sipendi wa hendsamu wa hivyo nataka ambaye h atazamiki hahaha
Hahahaha wataka sura ngumu sio, sura ya mbuzi hahaha
Yyaaap sura ka papai bivu lililo dondoka !!!!!
Kaweka picha umemuona? Veri hendisamu!!!!
Khaaa mi sipendi wa hendsamu wa hivyo nataka ambaye h atazamiki hahaha
Hivi kwanini awe mwembamba, au unataka muendane:what:Hi! naitwa Jaffery Adam, ninaumri wa miaka 21.
Natafuta rafiki wa kike, awe na miaka 19-23 awe mwembamba kiasi. hatakama hana kazi, awe na upendo wa kweli.
ukiwa tayari unanipata kwenye no. 0758082840
Ukipiga jitambulishe
Hahahha, Andunje tenah!!hebu wawekee picha yako mkuu usije kua andunje au kipipa tu. by the way kila la heri
Aah, wapii hata reli ina wembamba maalum.hahahahaaa unaangali they way mtu alivyo!! kwan hujui wembmb wa reli train inapita
Hahahh, hata kufikiria hayo kwake ni mzigo mkubwa,Dah..hawa vijana wana tafuta majukumu wahonge ada watie wazazi hasara. Hii picha na pos yake hajui hatari yake, kama mzazi wake ni member humu atakiona na mtema kuni leo.
Mmmh!!teh teh teh!! mbna majanga every one ana views zake bt am stll concious and nafah nnacho fanya