Natafuta Mpenzi wa Kike

Natafuta Mpenzi wa Kike

kabhakulu.com

Member
Joined
Apr 17, 2013
Posts
70
Reaction score
8
Mm nina miaka 25 natafuta mpenzi wa kuke. Mm ni mweuc, mfupi kiasi na mwembamba kiasi. Nipo Kagera kwa sasa. Nilifanikiwa kusoma kiasi sasa nawait ajira. Aliye tayari aweke namba yake atapigiwa.
 
Mm nina miaka 25 natafuta mpenzi wa kuke. Mm ni mweuc, mfupi kiasi na mwembamba kiasi. Nipo Kagera kwa sasa. Nilifanikiwa kusoma kiasi sasa nawait ajira. Aliye tayari aweke namba yake atapigiwa.
Hapo kwenye red umeshajikosesha mpenzi wewe mwenyewe. wenzio wanataka ATM.
 
Kabla ya ajira inayotokana na kisomo chako unataka kujitwika ajira nyingine tena! We bwana mdogo wewe!
 
Aaah! Umepataje! Ebu N2mie vocha ya elf kumi bas nkupgie!
 
Back
Top Bottom