Complicator
JF-Expert Member
- Aug 23, 2013
- 2,208
- 3,609
sasa tuseme kuwa chopeko unapenda sana nyama,nyama kwa nyama..hahahhaaaaaMacomplicator wasumbufu sana mwana, wadada wanawakwepa mnoo! We kausha tuu hivyo hivyo!
hapana,ukitaka nijua mimi twende pmndio wewe hapo kwenye avatar?
utafutiei hukohuko mbeya kuna wakina aganile atupwele na andongwise....huku mjini usifikemimi ni mwanaume wa miaka 24,sijaoa,natafuta mpenzi niko mbeya,awe na kazi yeyote ya kujikimu.
awe mkristo wa dhehebu lolote,kabila lolote,umri wa chini yangu.
Mungu akijaalia tuanzishe familia baada ya kuoana.
mi mwanaume,natafuta mwanamkeMbona hujataja jinsia ya huyo mpenzi unayemtafuta...
nina kila kitu ulichokitaja hapoWewe unanyumba,unashamba,una A/C,unaajira ya kuajiriwa au kujiajiri kipato chako kwa siku ni sh? una akiba ya chakula cha kutosha,Au mtaanza kwa baba then mtaahmia kwenu.
Akili iko vizuri kweli Ndg mtaani wake wengi leo uombe mtaani.mimi ni mwanaume wa miaka 24,sijaoa,natafuta mpenzi niko mbeya,awe na kazi yeyote ya kujikimu.
awe mkristo wa dhehebu lolote,kabila lolote,umri wa chini yangu.
Mungu akijaalia tuanzishe familia baada ya kuoana.
hahahahahaha hatari sana!hapana,ukitaka nijua mimi twende pm
Nao wapo humu humu jfAkina Atuganile. Asu. Atumenye. Andelile. Mati. Maka. Wameenda wapi?
Nenda pale Mafiati au Pamoz, wako kibaomimi ni mwanaume wa miaka 24,sijaoa,natafuta mpenzi niko mbeya,awe na kazi yeyote ya kujikimu.
awe mkristo wa dhehebu lolote,kabila lolote,umri wa chini yangu.
Mungu akijaalia tuanzishe familia baada ya kuoana.