mie nina wajukuu...lakini akitokea mwanamke naserebuka nae,,,Muda wa kukaa na kucheza na wajukuu wewe ndo unatafuta mpenzi..
Anyway kila la heri.
Inawezekana.. Maana hata mwenye miaka 35 anaweza kuwa na wajukuu.mie nina wajukuu...lakini akitokea mwanamke naserebuka nae,,,
Matamanio hayana ukomo na msiwafunge watu kwenye magereza ya fikra ZENU.....Inawezekana.. Maana hata mwenye miaka 35 anaweza kuwa na wajukuu.
Ila kama una 50+ na bado unaendekeza hayo mambo lazima kutakuwa na shida sehemu. [emoji1]
Miaka 70 unajua upwiru.ahahaa kweli muhuni WA zamani unazeekaShida gani mkuu..mie naitafuta 70 siku si nyingi,,,na upwiru napooza kimtindo ladha tofauti tofauti
Afya ikiwa njema kuna vitu kamwe havizeekiMiaka 70 unajua upwiru.ahahaa kweli muhuni WA zamani unazeeka
Ana haki ya kupenda na kupendwqMatamanio hayana ukomo na msiwafunge watu kwenye magereza ya fikra ZENU.....
Kwanini mnawafanya watu wazima waonekane kama mapambo ya makumbusho!!
Yaani mtu akifika miaka fulani basi akae tu kwenye Kochi akisubiria kifo kana kwamba amehukumiwa kifo!!
Mbona mtu wa miaka 50 bado angali ana nguvu zake nyingi Tu!!
Ni kweli ni maamuzi tuAfya ikiwa njema kuna vitu kamwe havizeeki
Watu hatuwezi kufanana kimaumbile kimitizamo, na hata kiutashi......Mkuu Bora ustaafu kama Mimi
Just imagine unapata heartbreak at 50.si unapata ugonjwa bure
Kuna umri ukifika Fanya mambo mengine
Matamanio hayana ukomo na msiwafunge watu kwenye magereza ya fikra ZENU.....
Kwanini mnawafanya watu wazima waonekane kama mapambo ya makumbusho!!
Yaani mtu akifika miaka fulani basi akae tu kwenye Kochi akisubiria kifo kana kwamba amehukumiwa kifo!!
Mbona mtu wa miaka 50 bado angali ana nguvu zake nyingi Tu!!
Ieleweke hakuna aliyempangia cha kufanya ila watu tumetoa mawazo yetu, na mawazo sio sheria.Watu hatuwezi kufanana kimaumbile kimitizamo, na hata kiutashi......
Mtu kajipima kaona anahitaji mwenza wewe nani mpaka umuone hafai kuyafanya hayo......??
Mimi naamini huyo ni mtu mzima na anajua anachokifanya
Ieleweke hakuna aliyempangia cha kufanya ila watu tumetoa mawazo yetu, na mawazo sio sheria.
Asingetaka kuambiwa lolote asingetupostia humu, angetafuta kimyakimya mtaani kwake.
Acha makasiriko Mkuu.
Vijana ndio mmeweka sex kama kipaumbele kutokana na kusukumwa na mihemko badala ya akili.....Mungu alikuwa na maana yake alipowafanya wanawake wawe na Menopause wakifikia miaka 45+, na wanaume kuanza kulegea misuli umri ukienda sana..
Sex inatumia energy kwa kiwango kikubwa sana..
Na unapofikia utu uzima kiwango cha kuzalisha energy kinapungua..
Tunza energy yako uweze hata kupandia ngazi ya kwenda ndani kwako.
Sahihi.Vijana ndio mmeweka sex kama kipaumbele kutokana na kusukumwa na mihemko badala ya akili.....
Kadri umri unavyokwenda muunganiko wa mwanaume na mwanamke unageuka kuwa kampani zaidi kuliko sex!!