Natafuta mpenzi baadae awe mchumba

Natafuta mpenzi baadae awe mchumba

Yupo ila anataka umpeleke shule kwaza
Huyo ukimsomesha, akamaliza na akapata kazi. Siyo wako tena
Mwanamke akiwa na shida anaweza fanya chochote kile ili mradi kitatue tatizo lake. Akishatatua hapo usahau
 
Eti eeeeh!!!! Sa nifanyeje kama Nina "ulimi wa tembo"
AHAA KUMBE ...BASI MKUU USIJALI USIWE UNATONGOZA ILA UWE NA MAUTANI UTANI MAHANJUMATI NINI UNACHEKESHA BASI UTAZIMIWA TU NAKUPENDWA...USITUMIE NGUVU KUTUMIA ULIMI WA TEMBO UTAANGUSHA MANENO...
 
Siku hizi chuo siyo dili tena maana wapo wenzako walimaliza zamani mpaka sasa hawana ajira, subili ukimaliza ukapata hajira ndo uanze story zako hizo za abunuasi.
 
Rafiki humu sio kwa kutafuta wachumba, tena kwa kutoa tangazo. Nakushauri badili mwelekeo kabla hujapotea. Ila kama unadhani njia hii sahihi nikutakie kila la heri.
 
inabidi vyuo viongeze kozi nyingine za kufundisha kutongoza
mkuu chuo mademu kibao umewashindwa??
 
inabidi vyuo viongeze kozi nyingine za kufundisha kutongoza
mkuu chuo mademu kibao umewashindwa??
wanazinngua babu kila ukigusa utaskia mie na mtu wangu
sasa ufanyaje??? ndo hayo matangazo
 
Umri wangu ni miaka 23 na ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu katika chuo kimoja hapa nchini.Ni mwanaume mchapa kazi na nwenye upendo wa dhati.Msichana nae muhitaji awe mdogo kiumri kiasi kuliko Mimi.
Kwa msichana yeyote mwenye sifa niliyoitaja tafadhari naomba ani PM
Kwan mjomba uko chuoni kwenu hakuna wasichana au mdomo umejaa maji mzito
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom