sashaminja
Member
- Sep 19, 2016
- 17
- 5
Akitokea huku nikwamba JF imekutongozea
Soma kwanza ww,Umri wangu ni miaka 23 na ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu katika chuo kimoja hapa nchini.Ni mwanaume mchapa kazi na nwenye upendo wa dhati.Msichana nae muhitaji awe mdogo kiumri kiasi kuliko Mimi.
Kwa msichana yeyote mwenye sifa niliyoitaja tafadhari naomba ani PM
Ahsante kwa ushauri but kwangu mie huu ndo muda mwafakaSoma kwanza ww,
mfuate sheta akupeleke kwa chifu kiumber Utapewa na renji lovaNdo nahitaji tunzwa sasa city hunter j
Naomba unipe # yako ya cm km upo tayarChukua hatua, njoo uso kwa uso hata kwangu ntakuelewa, hahaaaa
mie nakulavoChukua hatua, njoo uso kwa uso hata kwangu ntakuelewa, hahaaaa
Hahahahaaaaaaaa.....unazinguaaaMwanachuo, kama nakuona room in pazia, sabufa na jagi la Tokyo....
Nawe domo zege ndugu!!!!???Asee huyu bwana mdogo akipata na mm nataka pia kama issue zenyewe ni simple simple hivi![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ndo mbwembwe zenu wanachuo, ukimiliki jagi la Tokyo na sabufa unajiona bill GatesHahahahaaaaaaaa.....unazinguaaa
Duuuuuh...ukweli mchunguuuuNdo mbwembwe zenu wanachuo, ukimiliki jagi la Tokyo na sabufa unajiona bill Gates
HahahahaàaaaaUlimi Mzito ndugu yangu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()