roman j jackson
New Member
- Jul 4, 2016
- 2
- 0
Nilikuwa naitumia ila ghafla imezimika na documents zangu muhimu nashindwa hata kuzitoa,nahitaji hata kuzihamisha.Motherboard Toshiba C55-B1082.
Mkuu kama shida yako ya haraka ni document zako peke ake,Ilete laptop yako nitakutolea harddisk nitakuwekea kwenye harddisk casing utaitumia harddisk yako kama external harddisk hivyo utakuwa na uwezo wa kuaccess files zako zote wakati unaendelea na utaratibu wa kubadilisha hiyo motherboard,Utalipia muda wangu na hiyo sata casing jumla ya shilingi za kitanzania elfu 35 tu.Nilikuwa naitumia ila ghafla imezimika na documents zangu muhimu nashindwa hata kuzitoa,nahitaji hata kuzihamisha.Motherboard Toshiba C55-B1082.View attachment 1086288View attachment 1086289