Natafuta mother body

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Sep 11, 2010
4,271
2,401
Kama kichwa kinavyojieleza hapo, natafuta kwa hiyo model (sijui kama ni sahihi) ya c 125 hp co i3. Naweka na picha. Kwa mwenye nayo tafadhali tuwasiliane inbox
IMG_20181121_154017.jpeg
 
Mtaalam niliyempelekea anasema hapo nilipozungushia ndio pana tatizo. Kwamba hakuna namna ya kawaida ya kupafungua kwa ajili ya kupasafisha, na tz hii hakuna mashine ya kufungua hapo. Kama kuna guru wa hii kitu anijuze
2018-11-21_19.42.38.jpeg
 
Mtaalam niliyempelekea anasema hapo nilipozungushia ndio pana tatizo. Kwamba hakuna namna ya kawaida ya kupafungua kwa ajili ya kupasafisha, na tz hii hakuna mashine ya kufungua hapo. Kama kuna guru wa hii kitu anijuze View attachment 941816
Ipeleke Kwa Fundi Wa computer kuliko wote yupo hapo uhuru roundabout, anaitwa Pascal Ila Sasa bei zake zimechamka, hata mafundi unaohafamu wewe huwa wakishindwa wanampelekea yeye
 
Ipeleke Kwa Fundi Wa computer kuliko wote yupo hapo uhuru roundabout, anaitwa Pascal Ila Sasa bei zake zimechamka, hata mafundi unaohafamu wewe huwa wakishindwa wanampelekea yeye
Nikiulizia tu pascal nampata? Mawasiliano je
 
Nikiulizia tu pascal nampata? Mawasiliano je

Mzee hii mbona imefurumia kabisa,yaani ilichemka ikatokota,nina wasi wasi hata hiyo kapeti imeungua,lakini kajaribu kwa fundi huyo huwenda akawa na namna inayofaa.
 
Nikiulizia tu pascal nampata? Mawasiliano je
Namba nilipoteza Ila ukifika hapo ulizia Pascal Kwa hao wanauza vifaa mbalimbali computer kama adapter watakuelekeza utapandisha ngapi gorofa ya kwanza juu, utupe mrejesho ukifika huko
 
Namba nilipoteza Ila ukifika hapo ulizia Pascal Kwa hao wanauza vifaa mbalimbali computer kama adapter watakuelekeza utapandisha ngapi gorofa ya kwanza juu, utupe mrejesho ukifika huko
Poa thanks
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom