mseminari mdogo JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 228 Reaction score 146 Aug 9, 2016 #1 Nimefanya kilimo cha cabbage Kilombero Sugar. Katika week mbili zijazo nitaanza kuvuna. Yoyote mwenye kujua mnunuzi wa Jumla aweza nijuza kwa 0786388083 au 0654087243. Asanteni
Nimefanya kilimo cha cabbage Kilombero Sugar. Katika week mbili zijazo nitaanza kuvuna. Yoyote mwenye kujua mnunuzi wa Jumla aweza nijuza kwa 0786388083 au 0654087243. Asanteni