Natafuta mme

Natafuta mme

habari wana jf. Natafuta mme kutoka jf. Naamini mme anapatikana sehemu yeyote. Mimi nina miaka 29. Ninae mhitaji awe na miaka 29 na kuendelea. Awe mkristo. Naomba alie serious tuwasiliane pm.
ni pm please, serious
 
Nadhani picha ingehucka hapo ingekua bora zaid
 
Tatzo lenu mkiwapata hamleti marejesho ili tujue je Ni kweli JF kuna waowaji na waolewaji ama laah? Tatzo lenu mnakaaga kimya!
 
Habari wana jf. Natafuta mme kutoka jf. Naamini mme anapatikana sehemu yeyote. Mimi nina miaka 29. Ninae mhitaji awe na miaka 29 na kuendelea. Awe mkristo. Naomba alie serious tuwasiliane PM.

PM with me!
 
nipm hb
 
Ama kweli, kuishi kwingi kuona mengi. Yaani JF imekuwa bucha ya kiti moto? Unatafuta mume au mwana mume? Dada, kuwa wazi tu utapata kiila kitu hapa.
Subiri mpaka kesho ka hujaona badili id huenda leo wamelewa week end
 
Unatafuta mme au mchumba?!
Au ulikua naye amechepuka ndo mana humuoni?
 
Habari wana jf. Natafuta mme kutoka jf. Naamini mme anapatikana sehemu yeyote. Mimi nina miaka 29. Ninae mhitaji awe na miaka 29 na kuendelea. Awe mkristo. Naomba alie serious tuwasiliane PM.

Chema chajiuza kibaya chajitembeza. Unadhani kwanini hujapata mume wa kukuoa mpaka sasa?
 
Habari wana jf. Natafuta mme kutoka jf. Naamini mme anapatikana sehemu yeyote. Mimi nina miaka 29. Ninae mhitaji awe na miaka 29 na kuendelea. Awe mkristo. Naomba alie serious tuwasiliane PM.

oups!!...'mbebez' wa bara la giza utawajua tu you know!...sasa ww na sura kama 'nyumbu' nani akuoe!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom