Natafuta mme

Natafuta mme

Mwanamke anaye tafuta mwanamme JF huenda akawa na sifa zifuatazo:

1. Sio mzuri kabisa: hapa naongelea uzuri katika mwonekano wake, sura na umbo.

2. Masihara: wapo wanawake na hata wanaume wenye kufanya masihara humu ya kujifanya wanataka wachumba.

3. Opportunist: wapo wanawake wanao amini JF ni jukwaa la wasomi hivyo imewafanya wadhani kuwa watu wana pesa and the babes wanna take advantage of that.

Sasa wewe mleta mada, kati ya hizi sifa tatu, yako ni ipi hapo?
 
Habari wana jf. Natafuta mme kutoka jf. Naamini mme anapatikana sehemu yeyote. Mimi nina miaka 29. Ninae mhitaji awe na miaka 29 na kuendelea. Awe mkristo. Naomba alie serious tuwasiliane PM.

so you have decide to broke your silence@SILENT T, AU MVUA ZA SIKU MBILI ZIMEKULETEA TAABU.
 
mme wako kapotea muda gani ss? alikua amevaaje? na je ana alama gani tukimuona tukuarifu?
 
Picha kwanza tukuone ndio tukutathmini kama unalipa.. Pengine ni shoga.. Jianike upate unachotaka.
 
Chema chajiuza kibaya chajitembeza. Unadhani kwanini hujapata mume wa kukuoa mpaka sasa?[/QUOTE

tena alitaki2wa katika tangazo lake aseme mume anayeanzia miaka 35 na kuendelea na siyo 29 tena, au kama anatafuta wa kula nae pasaka tuu
 
Bikira ipo? Kama unanihakikishia ipo tuwasiliane. Sifa kubwa kwangu ndio hiyo.
 
so you have decide to broke your silence@SILENT T, AU MVUA ZA SIKU MBILI ZIMEKULETEA TAABU.

so you have decide to broke your silence?! Hii grammar haijakaa vyema it could sound more better if it was 'so you have decided to break...'
 
Nenda kanisani kamwambie padiri wako akutafutie. Akikosa, nenda pale kambi ya fisi wako vijana wanatafuta watu kama wewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom