ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 17,456
- 67,408
Bee My
Bee My
Naona unalainsha ukuta kwa maji taratiiibuYupo huku napoishi
Kila la kheri dada
Kwenye nini kaveli mwenye sauti yake tamuu?Lemdada, nawe nikutakie 'kila lakheri'?
-Kaveli-

Kwenye nini kaveli mwenye sauti yake tamuu?![]()
Hahahaha Kaveli bwana nikutafute mara ngapi?lolKwenye kumtafuta Kaveli.
Hahaha eti sauti tamu. Umeanza ucheshi wako we mrembo.
-Kaveli-





Hahahaha Kaveli bwana nikutafute mara ngapi?lol
Hahahaha kidogo tu![]()
Nina maswali 5 kabla ya kukubali kuniposa:Habar!ninaishi dar,I’m 28 years old christian,Lutheran church na nimeajiriwa, ninatafuta mme,nimechoka upweke na nahitaji mtu serious anaeishi dar kwa ajili ya ukaribu.thanks.serious issue pls.kama una utani kaa pembeni.nimechoka upweke Loh.
Nb:uwe mwaminifu sio kujileta na madudu yako me too I’m tired of those madudu![]()
Hahahahahaha umenifanya nicheke sana KaveliHongera sana kwa kumnasa Kaveli. Utaenjoy maisha like in heaven, zaidi ya Hawa yule wa Eden.
-Kaveli-
sio kwa mistari hiyoHahahahahaha umenifanya nicheke sana Kavelisio kwa mistari hiyo
Hahahahaha sio kwa sifa hizo mweehWahi geto sasa uje nikulishe madini unye utajiri. Kumpata Kaveli ni sawa na kuwa signatory wa World Bank. Pompo la kumwaga.
-Kaveli-