Ni kweli usemalo..lakini sio kwa mwanachuo au aliyepitia chuo..angalia vigezo vya mtu anaemtaka..kwanza umri umeenda..pili mwanaume yeyote bila kujali kazi yake ila awe na kazi,elimu nayo eti ajue walau kuandika....hii ni wazi kabisa kuwa binti kashaona maji yamezidi unga anatafuta pa kufia....shtukeni xana wanaume.KAKA INAWEZEKANA YUKO SERIOUS wanawake wamekuwa wengi sana,pia wanaume domo zege wamekuwa wng acha watafutane
Mkuu umenichekesha sana! Huo umri unaunaodai umeenda umeendaje? Rejea post yangu uone umri wangu!. Nimeona ndugu zangu wameoana bila kujal level ya elimu na wanaishi maisha yenye furaha sana hata zaidi ya hao wanaojali level kubwa ya elimu. Mtu anaejielewa sio lazima awe kasoma sana.Ni kweli usemalo..lakini sio kwa mwanachuo au aliyepitia chuo..angalia vigezo vya mtu anaemtaka..kwanza umri umeenda..pili mwanaume yeyote bila kujali kazi yake ila awe na kazi,elimu nayo eti ajue walau kuandika....hii ni wazi kabisa kuwa binti kashaona maji yamezidi unga anatafuta pa kufia....shtukeni xana wanaume.
Ha ha ha haaaaaa! Du kwa hiyo nikiwa hivyo sipendeki au?Mwanamke kutafuta mwanaume Mtandaoni!!!??...tena bila kujali elimu ila ujue kusoma na kuandika,hajali kazi yako mhhh!!!...unanipa mawazo wewe dada nadhani utakuwa 😱😱😱😱😱😱View attachment 396150
alikuwa kikojozi aseeeKisa cha kuachika ni nini jamani shem?
Ni bikra?Hayupo
Jejejejeeeee,wanasema wanapenda wanaume wanaojua matunzo sijui wamekuwa bustani
Mi najua kuandika, kuhesabu na kuandika na nina mtoto mmoja tu karibuHabari zeni wakuu, natumani hamjambo na mkiendelea na maisha kwa rehema ya mungu wetu. Nina miaka 27, sina mtoto, niko chuo mwaka wa mwisho( 1st degree),nataka kuwa mmke, kama kuna yeyote anaetaka kuwa mme pia ningetamani aje tuyajenge. Awe na sifa zifuatazo;
Awe mkristo;
Awe na umri kuanzia miaka 31 had 40;
Awe na shughuri yoyote yenye kumuingizia kipato;
Awe anajua walau kusoma na kuandika;
Asiwe muongeaji sana;
Asiwe na mke;
Asiwe na mtoto zaidi ya mmoja.