Natafuta mme

Sasa mbona wanaume tupo lakini hatuwaoni!!kwani wee uko wapi saa hivi!!
 
Ni pm yuyajenge
 
Nipo tayari tena ninazo sifa. Kazi yangu ya kuniingizia kipato ni hii unayoomba, nakuakikishia nitaifanya kwa uaminifu na kuweka ujuzi mkubwa ili usiniache kama unavyotaka kumuacha huyo uliyenaye sasa.
 
Kizuri cha jiuza kibaya ................
 
Jamani nipo hapa nakuitaji sana
 
Sasa wewe inatafutaje Mme jf inamaana kazn,njian,sokoni,mtaani huko unamo safiri hujawaona mi nakwambia kama umeshindwa kupata huko bas sidhan kama utapata huko
 
ni pm au toa email yako tuyajenge
 
urefu au ufupi wa papuchi hauna kikwazo amejiandaa
 
Mwanamke kutafuta mwanaume Mtandaoni!!!??...tena bila kujali elimu ila ujue kusoma na kuandika,hajali kazi yako mhhh!!!...unanipa mawazo wewe dada nadhani utakuwa 😱😱😱😱😱😱
 
Mwanamke kutafuta mwanaume Mtandaoni!!!??...tena bila kujali elimu ila ujue kusoma na kuandika,hajali kazi yako mhhh!!!...unanipa mawazo wewe dada nadhani utakuwa 😱😱😱😱😱😱View attachment 396150
KAKA INAWEZEKANA YUKO SERIOUS wanawake wamekuwa wengi sana,pia wanaume domo zege wamekuwa wng acha watafutane
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…