Habari zeni wakuu, natumani hamjambo na mkiendelea na maisha kwa rehema ya mungu wetu. Nina miaka 27, sina mtoto, niko chuo mwaka wa mwisho( 1st degree),nataka kuwa mmke, kama kuna yeyote anaetaka kuwa mme pia ningetamani aje tuyajenge. Awe na sifa zifuatazo;
Awe mkristo;
Awe na umri kuanzia miaka 31 had 40;
Awe na shughuri yoyote yenye kumuingizia kipato;
Awe anajua walau kusoma na kuandika;
Asiwe muongeaji sana;
Asiwe na mke;
Asiwe na mtoto zaidi ya mmoja.
Kumbe unatafuta bubu mmhh haya kila la kheri.Asiwe muongeaji sana
Kujipatia kipato chake...ndio kutakuwa cha kwenu....Mkuu jaribu kuacha mawazo chakavu, mtu kutaka kuolewa sio kwamba kaboronga chuoni, mi nadhani mme ni jambo heri tu. Harafu nimesema nataka mtu mwenye kujipatia kipato chake.
Acheni tamaa, upo chuo hamna wanafunzi wenzio hapo wakufunga nae pingu za maisha kweli? Basi unamatatizo we msichanaHabari zeni wakuu, natumani hamjambo na mkiendelea na maisha kwa rehema ya mungu wetu. Nina miaka 27, sina mtoto, niko chuo mwaka wa mwisho( 1st degree),nataka kuwa mmke, kama kuna yeyote anaetaka kuwa mme pia ningetamani aje tuyajenge. Awe na sifa zifuatazo;
Awe mkristo;
Awe na umri kuanzia miaka 31 had 40;
Awe na shughuri yoyote yenye kumuingizia kipato;
Awe anajua walau kusoma na kuandika;
Asiwe muongeaji sana;
Asiwe na mke;
Asiwe na mtoto zaidi ya mmoja.
Hiiiimwanamke akitangaza kutafuta mume ni sawa na kutomtongoza mwanaume,je dada unayafahamu madhara ya mwanamke kuanza kumuhitaji mwanamke kabla ya mwanaume kumhitaji mke?
mimi nafahamu zifuatazo
1.Hatokujali,kukuthamini wala kukuheshimu kwa kuwa [HASHTAG]#hukuwa[/HASHTAG] chaguo lake bali wewe ulimuona mwanaume ndiyo chaguo lako.
2.Atakunyanyasa na kukufuja haraka mno kwa kuwa anaamini bado ana nafasi nyingine nje ya wewe
3.Hatuona kazi kukusaliti kwa kuwa anaamini huwezi kuchomoka kwake na hata ukichomoka inakuwa hajalose chochote
4.Anaweza akakosea na asikuombe msamaha wakati wote wa ndoa yenu.
5.Atakuchoka kwa haraka sana na kujiona SHUJAA
References: mwanaume yeyote ambaye alishawahi kutongozwa atuambie namna alivyokuwa akiishi na binti huyo na mwanamke pia ambaye amewahi kumtongoza mwanaume naye atuambie waliishi vipi,na ndipo tutafahamu mengi zaidi.
UJUMBE: mwanaume mzuri na atakaye kupenda ni yule ALIKUFUATA MSICHANA NA SIO YULE ULIMFUATA nashauri tu.
NB: WAPO WACHACHE AMBAO WANA HEKIMA NA BUSARA KATIKA HILO.
TANGU UMEANZA KUJIBIWA INAONESHA WAZI KUWA HUMU JF HAWAPO HATA MIMI SIFAI
Mkuu kama uko tayari wee njoo tuyajenge, sasa nitatafuta kazi mpaka lini. Mambo magumu ukitegemea kuajiliwa tu, watu tunajiajili wenyewe kwa kazi ndogo ndogo kwanza kisha mengine yanafuata.Nini maana ya kusoma, unasoma ili uwe na maisha mazuri kupitia elimu uliyoipigania, sasa baada ya kuipata hiyo elimu mtu anatakiwa kutafuta kazi kwanza au kuolewa kwanza. Acha mawazo mfu.
miaka 31 ni ngumu kuwapata weng wameshaoa wataishia kukuchezea na kukufanya mke wa pili ila tafuta vjna wanaotaka kuoa pia, km utakuwa tayar me nipo sm 26 yrsHabari zeni wakuu, natumani hamjambo na mkiendelea na maisha kwa rehema ya mungu wetu. Nina miaka 27, sina mtoto, niko chuo mwaka wa mwisho( 1st degree),nataka kuwa mmke, kama kuna yeyote anaetaka kuwa mme pia ningetamani aje tuyajenge. Awe na sifa zifuatazo;
Awe mkristo;
Awe na umri kuanzia miaka 31 had 40;
Awe na shughuri yoyote yenye kumuingizia kipato;
Awe anajua walau kusoma na kuandika;
Asiwe muongeaji sana;
Asiwe na mke;
Asiwe na mtoto zaidi ya mmoja.