Mkuu jaribu kuacha mawazo chakavu, mtu kutaka kuolewa sio kwamba kaboronga chuoni, mi nadhani mme ni jambo heri tu. Harafu nimesema nataka mtu mwenye kujipatia kipato chake.Ushaona umeshaboronga chuoni sasa unatafuta kichaka cha kujifichiae? Ulikuwa unasomea kupata mume au kazi? Unataka mume mwenye kipato kwanini wewe hujafikiri kutafuta kipato kwanza unatafuta mume? Mbona umejirahisisha hivyo ni mzima kweli?
weka namba yako ya simu tukupigie fastaa!Habari zeni wakuu, natumani hamjambo na mkiendelea na maisha kwa rehema ya mungu wetu. Nina miaka 27, sina mtoto, niko chuo mwaka wa mwisho( 1st degree),nataka kuwa mmke, kama kuna yeyote anaetaka kuwa mme pia ningetamani aje tuyajenge. Awe na sifa zifuatazo;
Awe mkristo;
Awe na umri kuanzia miaka 31 had 40;
Awe na shughuri yoyote yenye kumuingizia kipato;
Awe anajua walau kusoma na kuandika;
Asiwe muongeaji sana;
Asiwe na mke;
Asiwe na mtoto zaidi ya mmoja.
Jamani weye acha kumkatisha tamaa mwenzio banaNa bado wanaume wamekua mgodi unaotembea sasa.......by the way hakuna mwanaume sasa hivi atakuoa kama na wewe hauna shughuli bora umalize chuo upate na wewe shughuli kwanza japo kaumri ndio kanafifia hako
Bado upo dubai?Unakuja lini bongo?.....Mungu akujazie wepesi na nguvu ili utimize haja ya moyo wako
Toba...Watu wa Ushirombo kila jambo lazima maombi!!!
Umenifananisha mkuu, Karibu Ushirombo...Bado upo dubai?Unakuja lini bongo?.....
Nini maana ya kusoma, unasoma ili uwe na maisha mazuri kupitia elimu uliyoipigania, sasa baada ya kuipata hiyo elimu mtu anatakiwa kutafuta kazi kwanza au kuolewa kwanza. Acha mawazo mfu.Mkuu jaribu kuacha mawazo chakavu, mtu kutaka kuolewa sio kwamba kaboronga chuoni, mi nadhani mme ni jambo heri tu. Harafu nimesema nataka mtu mwenye kujipatia kipato chake.
Futa kigezo cha kusoma na kuandika.Icho kigezo peleka Facebook.JF Ni Home ya Great ThinkersHabari zeni wakuu, natumani hamjambo na mkiendelea na maisha kwa rehema ya mungu wetu. Nina miaka 27, sina mtoto, niko chuo mwaka wa mwisho( 1st degree),nataka kuwa mmke, kama kuna yeyote anaetaka kuwa mme pia ningetamani aje tuyajenge. Awe na sifa zifuatazo;
Awe mkristo;
Awe na umri kuanzia miaka 31 had 40;
Awe na shughuri yoyote yenye kumuingizia kipato;
Awe anajua walau kusoma na kuandika;
Asiwe muongeaji sana;
Asiwe na mke;
Asiwe na mtoto zaidi ya mmoja.