Natafuta mme wa kunioa

Mie ni msichana na umri wa 23 pia nina mtoto mmoja ana miezi 6, nimezalishwa tu na mtu alonizalisha hanitaki na isitoshe ameoa mwanamke mwingine. Kwa hiyo atakae kuwa tayari kunioa na tuishi kwa amani nipo tayari.
Bashite kasema mliotelekezwa wote muende kwake awape huduma, changamkia fursa binti,
 
Calm down kwanza lea mtoto wako akue my friend miezi 6 bado mdogo na pia hauna muda tangia umeachana na huyo baba mtoto wako

Humu utapata wanaume watakao kupa Stress hadi ujutie uamuzi wako hawato kuacha salama humu wanacho tanguliza ni kula dodo tuu alale mbele tena una mtoto mdogo hivyo komaa nae kwanza mtoto asije kuwa fundi viatu

Pia umri wako miaka 23 bado sana jipange uta vuka tuu hiyo mitihani na majaribu una pitia kila kitu kina pita hakuna kita baki milele
Na huyo mwanamme atanyonya nini waksti unanyonyesha. Au unatafuta kwa kukusaidia matunzo baada ya kuachwa. Ila bado una option ya kumuona Makonda.
 
Majina mazuri lakini sina imani na nyie ..nawashangaa wadada wa JF kila mmoja anajiita beautiful hahaaaa wekeni sura zenu ..
 
Mie ni msichana na umri wa 23 pia nina mtoto mmoja ana miezi 6, nimezalishwa tu na mtu alonizalisha hanitaki na isitoshe ameoa mwanamke mwingine. Kwa hiyo atakae kuwa tayari kunioa na tuishi kwa amani nipo tayari.
Binti mume hatafutwi kama bidhaa fulani sokoni. Najua umechanganywa na yule mwanamume wa kwanza. Kama walivyoshauri wengine tulia, fanya kazi zako. Mwanaume wa kukuoa atajitòkeza. Usifanye haraka. Pia humu JF sio mahali muafaka pa kupata mume. Wengi humu ni wajanja sana na wajuaji. Mume utapata nje ya JF.
 
Dah....Acha uongo bana.... Mbona Demiss kapata humuhumu JF ..
 
Dah....hakuna njia maalum ya kutafuta mke au Mume......Dunia nzima..... Cha msingi mnaendana? Baasi
Ni kweli ila humu JF mimi siamini kwamba utapata mke ama mume kirahisi. Ila tukubaliane inawezekana. Isipokuwa itabidi mhusika afanye uchunguzi sana.
 
Mdogo angu,kama ungeachana kwanza na mambo ya kuolewa hivi,japo ni mambo yako binafsi na ni maamuzi yako,naona unge-focus kumkuza mwanao kwanza akitengemaa ndio mengine yafuate.....
We wa kwako ana umri gani sasa? Au bado umefunga nyonga?
 
Naona huwezi kuhandle stress,,,,

Wahi kwa Mh.Makondo kabla ya Maandamano kutokea,,

Pole sana binti.
 
  • Thanks
Reactions: sab
Mlee kwanza mtoto akue japo afikishe miaka miwili halafu ndio uanze kutafuta mume wa kukuoa.

Wakati huo natafuta mume jitahidi ujishughulishe na kazi yoyote ili uweze kupata cha kukizi mahitaji ya kila siku
Nimependa Jina na Avarta!
 
Mmeangalia mtafuta mume ameonekana mara ya mwisho lini humu kilingeni?! Atakuwa keshampata baba mlezi wa mwana kachanga!
 
Attachments

  • Screenshot 2018-04-24 12.32.31.png
    Screenshot 2018-04-24 12.32.31.png
    82.7 KB · Views: 54

Similar Discussions

Back
Top Bottom