Natafuta mme mwema

Natafuta mme mwema

kinyanshanani

Member
Joined
Jul 7, 2015
Posts
7
Reaction score
1
Mimi ni binti wa miaka32 Nina mtoto1 wa miaka5 nimeokoka nampenda yesu umefika wakati nahitaji mwenzi wangu wa maisha awe na umri34-42 awe mwenye mapenz ya kweli atakaenipenda km nilivyo mtafutaji wa maisha km Mimi tuwasiliane kwa email karungimiteni@yahoo.com plz naomba uwe serous na ni muhitaji kweli
 
Hongera Binti mrembo utapata mwenza mtumishi kama wewe.
 
Bint una miaka 32 na una mtoto na umeokoka unae yesu sasa huyo mtoto ni wa yesu ilikua usema ni mama mwenye mtoto wewe bado hujaokoka umezama
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom