Natafuta mkopo

Natafuta mkopo

Young classic

New Member
Joined
Jun 8, 2014
Posts
2
Reaction score
0
habar zenu wanajamvi, natafuta mkopo wa sh.100000/= ili niweze kulipa ada ya mtoto mwenye nayo ani PM. ahsante
 
Kiongozi natoa mikopo kwa riba ya 30% kama upo ttsyari basi TUWASILIANE lkn dhamana utaweka nini ndgu yangu...
 
20% riba na collateral inayoeleweka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom