Be very careful bro!
Mimi mwenye nina biashara ya daladala tokea nimeanza hiyo biashara is almost a year now.sijapata hata hela robo nilionunulia gari (I mean cash in acount)kila siku nikugomba na dereva au konda,esp kama wewe ni mfanyakazi utakufa na presha,ungekuwa una hizo hela cash na sio mkopo ningekuambia chukua hiyo gari.tatizo watu wanafanya theory kwenye biashara(mtu anapiga hesabu kwa siku 100,000x6aweek x 4amonth=2,400,000 toa 400,000 ya ukarabati.then 2M x 12miezi=24M.ukifanya theory inawezakana sana nunua gari weka barabara!utakuwa kila ukiona simu ya dereva inaingia unatamani kulia.
Ushauri ni mzuri ila we don't kuchagulia.