shilika ?ndo kiswahili ganiNanafanya kazi na shilika moja private hapa mjini chamsingi nataka mpenzi nikaye mpata awe tayali kwenda kupima afya zetu!!!
Hili ni jambo la kheri tunawaombea mpate wenza wema mtakaokuwa na familia bora. Hii itakuwa ni sifa kubwa kwa wanajamii na wamiliki wa JF
Mshana Jr nielekeze huko PM
Hahahahahahaha we asubuhi sana ww