Natafuta mke

mwanjokay

Member
Joined
Aug 7, 2013
Posts
16
Reaction score
2
NATAFUTA MKE

Ni kijana wa miaka 26naishi mbeya natafuta mwanamke atakayekuwa mke wangu asizidi 23 miaka
sifa;

.Awe mkiristo

.Aishi popote Tanzania

.Awe anayatambua majukumu yake

.Awe na upendo wa kweli

.Mkweli na mwenye nidhamu 0756093879
 
Hujaweka kabila na kazi au shughuli unayofanya. Swali kijana ni umri ulionao unaonesha ulishawahi kuwa na uhusiano na wasichana hebu tueleze hao wa zamani umeshawaacha?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…