Lamomy JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 39,471 Reaction score 94,938 Mar 10, 2024 #61 Manyanza said: Alaaaa basi endelea kujishauwa π₯± Click to expand... Na najishauwa kweli πππ
Manyanza said: Alaaaa basi endelea kujishauwa π₯± Click to expand... Na najishauwa kweli πππ
Manyanza Platinum Member Joined Nov 4, 2010 Posts 20,009 Reaction score 45,724 Mar 10, 2024 #62 Lamomy said: Na najishauwa kweli πππ Click to expand... Aiseee haya Wewe ringa tu but utajuta
Lamomy said: Na najishauwa kweli πππ Click to expand... Aiseee haya Wewe ringa tu but utajuta
Lamomy JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 39,471 Reaction score 94,938 Mar 10, 2024 #63 Manyanza said: Aiseee haya Wewe ringa tu but utajuta Click to expand... Sasa nijute nini?? Kuolewa sio kipaumbele changu sipendi kuwa mtumwa wa mtu π€£π€£π€£
Manyanza said: Aiseee haya Wewe ringa tu but utajuta Click to expand... Sasa nijute nini?? Kuolewa sio kipaumbele changu sipendi kuwa mtumwa wa mtu π€£π€£π€£
Espy_ JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 91,849 Reaction score 183,095 Mar 10, 2024 #64 Amehlo said: awe na kazi? we kazi unayo au mtatumia ya mkeoπ kila la heri mwaya, Mungu akupe unachostahili Click to expand... Yeye si ana miaka 36 jamani!! Lakini pia bonus ni ana mama na nduguπ
Amehlo said: awe na kazi? we kazi unayo au mtatumia ya mkeoπ kila la heri mwaya, Mungu akupe unachostahili Click to expand... Yeye si ana miaka 36 jamani!! Lakini pia bonus ni ana mama na nduguπ
Amehlo JF-Expert Member Joined May 8, 2019 Posts 10,910 Reaction score 31,743 Mar 10, 2024 #65 Atoto said: Yeye si ana miaka 36 jamani!! Lakini pia bonus ni ana mama na nduguπ Click to expand... unaolewa unapata mama mkwe kama bonus
Atoto said: Yeye si ana miaka 36 jamani!! Lakini pia bonus ni ana mama na nduguπ Click to expand... unaolewa unapata mama mkwe kama bonus
Espy_ JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 91,849 Reaction score 183,095 Mar 10, 2024 #66 Amehlo said: unaolewa unapata mama mkwe kama bonus Click to expand... Kabisa.
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 59,098 Reaction score 138,038 Mar 10, 2024 #67 Hii mbinu naweza kuitumia kupata mademu humu? Nikafajifanya naoa, nusu saa pm imenona pisi kadhaa zinanitaka
Hii mbinu naweza kuitumia kupata mademu humu? Nikafajifanya naoa, nusu saa pm imenona pisi kadhaa zinanitaka