Kuna changamoto sana binadamu tunapitia na kila mtu na mawazo yake,ila kwangu sijali kitu Mungu ndio kapanga hadi umri huu nisiwe na mtoto mkuu,katika maisha yangu sijawah hata kusingiziwa mtoto,narudia mkuu ni changamoto tu na hiyo hali nimeikubali,sioni tatizo sabab ni mpango wa Mungu na isitoshe sikuwahi kuoa hivyo kutokuwa na mtoto nafikiri ni sawa tuMiaka 42 huna mtoto? Au nyie ndo wale mnaokataaga watoto? Natania, hongera Kwa kujitunza Kaka, Mungu akupe mke mwenye kheri.
we mnafikiMiaka 42 huna mtoto? Au nyie ndo wale mnaokataaga watoto? Natania, hongera Kwa kujitunza Kaka, Mungu akupe mke mwenye kheri.
Miaka 42 huna mtoto? Au nyie ndo wale mnaokataaga watoto? Natania, hongera Kwa kujitunza Kaka, Mungu akupe mke mwenye kheri.
Kuna changamoto sana binadamu tunapitia na kila mtu na mawazo yake,ila kwangu sijali kitu Mungu ndio kapanga hadi umri huu nisiwe na mtoto mkuu,katika maisha yangu sijawah hata kusingiziwa mtoto,narudia mkuu ni changamoto tu na hiyo hali nimeikubali,sioni tatizo sabab ni mpango wa Mungu na isitoshe sikuwahi kuoa hivyo kutokuwa na mtoto nafikiri ni sawa tu
Vijana, Ni vyema mkataja km mmejiajiri vp mnamiliki nini nk(na iwe kweli ) km upo seriousMi sina mambo mengi, ninachohitaji ni mtu mwanamke ambae tutaelewana na kuoana. Sijali kabila wala dini, sijali ana kipato gani wala elimu gani.
Mimi ni muislam, umri wangu ni 42 sasa, sina mtoto, nimejiajiri, nipo Mwanza.
Aliye tayari aje tuyajenge.
Tupo bwana,..mbona mnatuchukulia hivuo jamani.Vijana, Ni vyema mkataja km mmejiajiri vp mnamiliki nini nk(na iwe kweli ) km upo serious
Mabinti wanaotaka kuolewa wa sasa (wenye access na mtandao) hawataki mwanaume aliyepoteana...(uchumi dhaifu) ...labda u-search vijijini ndani ndani huko " hata hivyo ni risk kuoa mwanamke asiyejielewa.
Wale wa kuanza pamoja maisha kwa kulala kwenye mkeka hawawezi kuwepo JF.
2015 ulitangaza kutafuta mke ukasema una miaka 32.
2018 ukatangaza kutafuta mke ukasema una miaka 40,
2023 ukarudi hapa hapa tena ukasema una miaka 42 unatafuta mke
Jf kuna vituko sana humu.
Natafuta mchumba
Mi ni kijana mtanzania,mrefu kiasi,mweupe,Umri wangu ni miaka 32 sina Mtoto,nahitaji mwanamke alietayari na anaejitambua Umri wake usizidi miaka 36 alie tayari ani Pm tuongee vizuri au anitafute lamalunkanyemka311@gmail.comwww.jamiiforums.com
Natafuta mchumba
NATAFUTA MCHUMBA
Mi muislam,umri now Ni 40,natafuta MCHUMBA alie TAYARI aje pm! Mabingwa wa kukosoa hasa wanaume mnaweza kupita tu kimya kimya maana Kuna wakatisha tamaa humu kujifanya mnajua kiiiila kitu,nahitaji mke,mwanamke sio shoga,mwanaume uki comment hapa najua sio ridhik! Karibu wadada mlio na uhitaji wa...www.jamiiforums.com
NATAFUTA MCHUMBA
Bro dunia ngumu sana hii
Sana dadaBro dunia ngumu sana hii
Fungua PM yako kakaSana dada