Natafuta mke!

Bususwa

JF-Expert Member
Sep 30, 2021
426
1,005
Mimi ni kijana, nina miaka 37 kwa sasa, niliwahi kua na girlfriend tu,tukapata mtoto mmoja, tokana na changamoto za hapa na pale, tuliachana na kila mtu akawa na maisha yake, mtoto wangu kwa sasa yuko form 1.

Kazi yangu nimeajiriliwa serikalini, kwenye moja ya taasisi zake za vyombo vya Ulinzi na Usalama, nikiwa mvaa overall,

Sifa za mwanamke au binti ziwe kama ifuatavyo, awe mcha Mungu, dini Mkrito Roman Catholic, Anglicaka au KKKT sio mbaya sana. Awe na Elimu walau kuanzia form four na awe tayari kufanya hata Biashara ambayo tutakubali kuifanya Mimi na yeye! Kabila lolote tu!

Mwenye nia njema namkaribisha inbox
 
Mimi ni kijana,nina miaka 37 kwa sasa,niliwahi kua na girlfriend tu,tukapata mtoto mmoja,tokana na changamoto za hapa na pale,tuliachana na kila mtu akawa na maisha yake, mtoto wangu kwa sasa yuko form 1.

Kazi yangu nimeajiriliwa serikalini,kwenye moja ya taasisi zake za vyombo vya Ulinzi na Usalama,nikiwa mvaa overall,

Sifa za mwanamke au binti ziwe kama ifuatavyo, awe mcha Mungu,dini Mkrito Roman Catholic, Anglicaka au KKKT sio mbaya sana. Awe na Elimu walau kuanzia form four na awe tayari kufanya hata Biashara ambayo tutakubali kuifanya Mimi na yeye! Kabila lolote tu! Mwenye nia njema namkaribisha inbox
Hup undezi kijana vitumbua mtaani kwenu havipo mpk uje kwenye social media. Utakuja kuoa Majini 😁😁😁
 
Mimi ni kijana,nina miaka 37 kwa sasa,niliwahi kua na girlfriend tu,tukapata mtoto mmoja,tokana na changamoto za hapa na pale,tuliachana na kila mtu akawa na maisha yake, mtoto wangu kwa sasa yuko form 1.

Kazi yangu nimeajiriliwa serikalini,kwenye moja ya taasisi zake za vyombo vya Ulinzi na Usalama,nikiwa mvaa overall,

Sifa za mwanamke au binti ziwe kama ifuatavyo, awe mcha Mungu,dini Mkrito Roman Catholic, Anglicaka au KKKT sio mbaya sana. Awe na Elimu walau kuanzia form four na awe tayari kufanya hata Biashara ambayo tutakubali kuifanya Mimi na yeye! Kabila lolote tu! Mwenye nia njema namkaribisha inbox
Kuna mmoja yupo hapa katesh Kijiji cha ngwandu nikufanyie connection?
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom