Natafuta Mke

Thanks kaka,maana nimechoka kulishwa hamira na mama ntilie kwa kweli.
pole,mara moja moja uwe unanijoin pale kempiks,huwaga niko pale sana hasa tym za lunch.
 

ulimaanisha m-k-w-e-r-e ??!!

Kila la kheri!!
 
Oa bana upunguze idadi. Muweke Mungu mbele utapata mke mwema. All the best!
 
Sorry,
nlikua bize kidogo napitia vigezo vya walioni-PM,

kusema ukweli wengi wao hawakufika vigezo hata nusu ya nilivyotaja wakati wengine wakihitaji kujua eti nina mali kiasi gani,
hivyo natangaza kua bado napokea PM kwa ajili ya yule anaehitaji ku-share life (including love) na mimi,
 
Nimeulizwa sana kwenye PM kama nachagua kabila, mbona sijaweka langu?Kwakua niko siriaz wacha tu niweke wazi,Mimi natokea mkoani Ruvuma kwa baba mchanganyiko wa kingoni na nyasa,upande wa mama anatokea kaskazini mkoani kilimanjaro (but sio mmachame)
 
Unaumri gani? Umechafua sana mitaani ndo unajifanya unahitaji mke, anyway ni maamuzi mazuri.Nakushauri ufunge kwa maombi maalum.Muombe Mungu akupe mke mwema na si kabila njema.Mm na kuweka ktk maombi ila acha kabisa ufusika.
 
Unaumri gani? Umechafua sana mitaani ndo unajifanya unahitaji mke, anyway ni maamuzi mazuri.Nakushauri ufunge kwa maombi maalum.Muombe Mungu akupe mke mwema na si kabila njema.Mm na kuweka ktk maombi ila acha kabisa ufusika.
Duh,yamekua hayo?Tukianza kuchafuana namna hii si hata hao wachumba naowahitaji watakimbia?Mambo mengine ni ya kuambiana kwenye PM mkuu, si hadharani namna hii.
 
ukifanikiwa utujulishe.masharti uliyoyataja karibu yote ninayo,isipokuwa sharti moja tu,naona sio bahati yangu
 
dah! Ilikuwa bdo kidogo nikuPM kumbe me Mmachame! Dah!
 
dah! Ilikuwa bdo kidogo nikuPM kumbe me Mmachame! Dah!
Dah, naweza kujikuta miaka yote mtu unajijenga kimaisha kumbe unamjengea mwenzio,kwa heri dada yangu
 
asisahau na cha angaza.
Binafsi naamini Cheti si kithibitisho cha kuaminika.Sio sawa na cheti cha chuo ukishatunukiwa digrii ndo unayo moja kwa moja,Angaza unaweza kupewa cheti leo kisha kesho ukaukwaa na bado cheti unacho unawadanganyia watu.
 
nimeoona kule sijui nani kachimbua nami nikaona nitanie hapo si unajua mambo ya jf
Aiseee.......hii umeichimbua wapi.......mbona ya long tym sana......?.......2011.........!!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…