Mimi ni mwaname mwenye umri wa miaka 45, divorced, mtoto mmoja, mkristo, natafuta mwanamke mwebye umri kuanzia miaka 27 mpaka 40, mwenye sifa zifuatazo:
Mkristo, ila asiwe mlokole
Elimu kuanzia form 4
Awe na kazi au taaluma yeyote
Asiwe na mtoto
Awe tayari kuishi sehemu yeyote tanzania
Aliye tayari kupima hiv
Aliye na sifa na uhitaji an pm