Natafuta mke

Natafuta mke

Ngoja nkakutaftie mkuu,
Ntarudi baadae, kuna pini 2 ziko mahali ngoja niziwahi
 
Me nikijana nina umri wa miaka 27 ni muajiriwa wa sector binafsi ya Mali asili nina kipato cha kukizi maitaji yote.

Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo;
Rangi yoyote.
maziwa yawe sio makubwa au kulala.
Awe na shepu la kimahaba sio kubwa sana.
Awe na Heshima mchapakazi Kitandani adi kwenyee shuguli za maishi. yakawaida kabila asiwe Mkurya au mchagga tu bahsiii mengine tutafundisha. ndugu zangu kama una dada yako au ndugu yako kakaa kiasara mpe taharifa ani Pm nampigia.
Dah anyway goodluck
 
MBONA KAMA MSHAMBA WEWE? UNATOKEA WAPI?TUANZIE HAPO LABDA?
 
toka 2000
sasa wanawake hujawaona toka 2000, unakuja tafuta umu? alafu hivyo ndivyo wanavyo tafuta mke namna hiyo? au unatudanganya! wewe unatokea kijijini! kwanza hizo ofisi za misitu ziko wapi hapa dar?
 
ayo maswali angeniuliza dada yako ningejibu wewe utonisaidia
 
ayo maswali angeniuliza dada yako ningejibu wewe utonisaidia
upeo wako unaonyesha kabisa uko under 27 unaforce, wala haupo dar! na huna nia ya kuoa ila unataka kuvunja amri tuu! unafikiri ndoa ni kufanya mapenzi pekeyake! ndivyo mnavyo danganyana uko vijiweni! nenda ujipange bana la sivyo nenda facebook kwa watoto wenzio!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom