mkadiriajimajenzi
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 551
- 618
- Thread starter
-
- #41
Changamoto unazoziona wewe leo co ngeni hata ,zama hizo zilikuwepo na tayari kitabu kilishazungumzia,na kwa kukuweka clear kitabu "hakijaagiza" but Allah ndo alitoa ruhisa nami nimeamua kuitumia ruhusa hiyo kuepukana na uzinziKwa hiyo mkuu unaongeza mke kisa "kitabu" kimeagiza pasipo kuangalia changamoto za dunia ya leo?!
Aisee nikutakie kila la kheri katika uamzi uliochukua...
Kila la kheri Ndugu,Vipi wife umeshazungumza nae Kuhusu Mathna...sina shaka umeshajipanga kuhusu kutimiza mahitaji yao bila kubagua.Nakutakia kila la kheri ila tafuta mwenye dini upate utulivu.Changamoto unazoziona wewe leo co ngeni hata ,zama hizo zilikuwepo na tayari kitabu kilishazungumzia,na kwa kukuweka clear kitabu "hakijaagiza" but Allah ndo alitoa ruhisa nami nimeamua kuitumia ruhusa hiyo kuepukana na uzinzi
Kwa hiyo mkuu unaongeza mke kisa "kitabu" kimeagiza pasipo kuangalia changamoto za dunia ya leo?!
Aisee nikutakie kila la kheri katika uamzi uliochukua...
Mkuu Mzimu wa kolelo unataka kuniambia miaka 22 yupo tayari kuwa matarah? Aende kwenye zile madrasa ambazo wanakaa wakina dada kujifunza dini na kutafuta wanaume wa kuwastiri...shekhe ajitahid sana kufanya harakakila heri mkuu ila mke wa piri inatakiwa vema umtafute taratibu sana na umakini na awe na hekima kuanzia yeye mwenyewe mpk wazazi wake si vema kumtafuta katika mitandao ni wachache sana ktk mitandao wanajielewa wengi ni hovyo sana
jaribu kutulia huko mitaani na upate binti mdogo asizidi miaka 22 huyo no rahisi sana kufulahia ndoa naye
nakutakia kila la heri ktk jambo lako na mwenyezi mungu akuongoze
Mcha mungu gani anatafuta mke jf forum then anataka kuoa kwa siri?. Nyege tu hizo mzee . You are trying to fool ppl. I hope in jf there are no stupid ladies who can easily be fooled. Unajua sheria ya kutafuta mke ktk uislam? Acha hizo bana
Unajua mkuu kuna madhra mengi sana yametokea na yanaendelea kutokea katika familia nyingi chimbuko lake kuu ni "MAAGIZO YA DINI"Mkuu mimi mwenyewe kila nikimtafakar nakosa majibu dah..mimi nipe maisha marefu nione maajabu yanayozid kuongezeka kwenye yale saba...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 natafuta mwanamke aliye tayari kuolewa kama mke wa pili mwenye sifa zifuatazo:
1.Awe muislamu anayeheshimu na kuzingatia taratibu za dini
2.Awe na umri usiozidi miaka 30
3.Awe hajawahi kuzaa (Aliyeolewa akaachika bila kuzaa au mjane asiye na mtoto wanaruhusiwa)
4.Awe na elimu angalau ya kidato cha 4
5.Awe mweupe kiasi na asiwe bonge nyanya
6. Awe tayari kufunga ndoa kimya kimya
Aliye tayari aniPM.
Bila shaka wewe ni miongoni wa wale wa upande ule ambao hufunga pingu na mke m1 na kuwa na vimada 6 bila kujali kuvunja amri ya 6.Unajua mkuu kuna madhra mengi sana yametokea na yanaendelea kutokea katika familia nyingi chimbuko lake kuu ni "MAAGIZO YA DINI"
Mleta uzi anaamua kujitwishwa mzigo wa wake wawili na watoto juu kisa kashindwa kumvumilia mkewe kwa siku3 tu aendazo hedhi!
Anachukua jiko jingine... Sasa sijui itakuwaje kama siku za hawa wakezake zikiwa coincidence!!! Atatafuta mke wa 3&4??
Kumbe ndiyo maana hawa majamaa wanalilia mahakama ya kadhi ili waendelee kuwanyanyasa dada na wapwa zetu kwenye kesi za mirathi!!
Mdogo wangu mleta mada tafakari kwa makini juu ya imani yako ya kimapokeo then jiongeze mwenyewe... Vinginevyo ipo siku kitabu chako cha dini kitaagiza ujitoe mhanga umlipue MAMA yako...
Umeona eee!!Miaka 27 unatafta mke wa pili duuh!
Pole sana kwa upotevu ulionao juu ya maisha...mawazo yako hayaendani na umri ulionaoUmeona eee!!
Katoto kadogo kanajifanya kijogoo kumbe uzinzi mtupu!
Hili blanket la dini lishapoteza viumbe wengi sana hasa hawa wavaa vipedo!!
Jamaa katanabaisha kuwa yeye ni msuni na pengine yupo Dar es Salaam hii yenye joto la HATARI na mkewe kutwa nzima alivaa full NINJA kuanzia miguuni hadi kichwani gubigubi zaidi ya marehemu!! ivi kikawaida demu kama huyu atakuwa na mzuka wa kunjunja zaidi ya masaa matatu kama sio unyanyasaji??
Wanaumme tusihemke kisa dini zinaruhusu, tuwaheshimu wake zetu hasa inapotokea kuwa mahtaji yetu yanahusisha hisia zetu kulingana na mazingira!
Nikifika 35 inshaAllah nataka niwe nishakamilisha wa4Miaka 27 unatafta mke wa pili duuh!
Hicho ndo kikomo cha upeo wako wavkufikiri kutokana na matatizo uliyonayoMke mkubwa ameisha nguvu za kike??