F Flavian56780 New Member Joined Jul 3, 2023 Posts 2 Reaction score 7 Jul 7, 2023 #1 Habari, Natafuta mke, nipo serious. Umri ni miaka 29 mpaka 35. Dini: Mkristu na kabila lolote. Nina umri 36 na nimejiajiri pia. Karibu PM.
Habari, Natafuta mke, nipo serious. Umri ni miaka 29 mpaka 35. Dini: Mkristu na kabila lolote. Nina umri 36 na nimejiajiri pia. Karibu PM.
Masai wa Town JF-Expert Member Joined Apr 9, 2017 Posts 6,547 Reaction score 23,868 Jul 8, 2023 #2 JamiiForums hakuna mke. Tangu mwaka juzi Nimeleta nyuzi 3 kwa nyakati tofauti. Bila bila
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 166,695 Reaction score 185,198 Jul 8, 2023 #3 Kila la kheri...
T Tusechi Member Joined May 27, 2013 Posts 35 Reaction score 34 Jul 8, 2023 #4 Restless Hustler said: JamiiForums hakuna mke. Tangu mwaka juzi Nimeleta nyuzi 3 kwa nyakati tofauti. Bila bila Click to expand... Inawezekana na wewe una shida. Haiwezekani katika nyuzi tatu zote umekosa hata mmoja. Jitathmini ulipopunguka.
Restless Hustler said: JamiiForums hakuna mke. Tangu mwaka juzi Nimeleta nyuzi 3 kwa nyakati tofauti. Bila bila Click to expand... Inawezekana na wewe una shida. Haiwezekani katika nyuzi tatu zote umekosa hata mmoja. Jitathmini ulipopunguka.
Uwa zuri Senior Member Joined Feb 24, 2023 Posts 106 Reaction score 178 Jul 23, 2023 #5 Restless Hustler said: JamiiForums hakuna mke. Tangu mwaka juzi Nimeleta nyuzi 3 kwa nyakati tofauti. Bila bila Click to expand... Huna bahati
Restless Hustler said: JamiiForums hakuna mke. Tangu mwaka juzi Nimeleta nyuzi 3 kwa nyakati tofauti. Bila bila Click to expand... Huna bahati
Masai wa Town JF-Expert Member Joined Apr 9, 2017 Posts 6,547 Reaction score 23,868 Jul 23, 2023 #6 Uwa zuri said: Huna bahati Click to expand... Njoo inbox
Mpaji Mungu JF-Expert Member Joined Apr 24, 2023 Posts 15,747 Reaction score 50,146 Jul 23, 2023 #7 duh hv mnapataga wake humu kwel?
Masai wa Town JF-Expert Member Joined Apr 9, 2017 Posts 6,547 Reaction score 23,868 Jul 23, 2023 #8 Mpaji Mungu said: duh hv mnapataga wake humu kwel? Click to expand... Mimi sijawa
Mpaji Mungu JF-Expert Member Joined Apr 24, 2023 Posts 15,747 Reaction score 50,146 Jul 23, 2023 #9 Restless Hustler said: Mimi sijawa Click to expand... Mi mhafidhina mpaka nione
Paul dybala JF-Expert Member Joined Jul 30, 2023 Posts 540 Reaction score 2,226 Aug 20, 2023 #10 Utakutana na matapeli tu...we ishi tu mke anakuja automatic
M maryfroby New Member Joined Dec 28, 2015 Posts 2 Reaction score 1 Sep 1, 2023 #11 Flavian56780 said: Habari, Natafuta mke, nipo serious. Umri ni miaka 29 mpaka 35. Dini: Mkristu na kabila lolote. Nina umri 36 na nimejiajiri pia. Karibu PM. Click to expand... Naomba nicheki PMkwangu inagoma.
Flavian56780 said: Habari, Natafuta mke, nipo serious. Umri ni miaka 29 mpaka 35. Dini: Mkristu na kabila lolote. Nina umri 36 na nimejiajiri pia. Karibu PM. Click to expand... Naomba nicheki PMkwangu inagoma.
Masai wa Town JF-Expert Member Joined Apr 9, 2017 Posts 6,547 Reaction score 23,868 Sep 24, 2023 #12 Tusechi said: Inawezekana na wewe una shida. Haiwezekani katika nyuzi tatu zote umekosa hata mmoja. Jitathmini ulipopunguka. Click to expand... Wanakuja ila wakubwa mno. Unakuta mtu kanizidi miaka 8
Tusechi said: Inawezekana na wewe una shida. Haiwezekani katika nyuzi tatu zote umekosa hata mmoja. Jitathmini ulipopunguka. Click to expand... Wanakuja ila wakubwa mno. Unakuta mtu kanizidi miaka 8
T Tusechi Member Joined May 27, 2013 Posts 35 Reaction score 34 Sep 24, 2023 #13 Restless Hustler said: Wanakuja ila wakubwa mno. Unakuta mtu kanizidi miaka 8 Click to expand... Age is just a number bro...
Restless Hustler said: Wanakuja ila wakubwa mno. Unakuta mtu kanizidi miaka 8 Click to expand... Age is just a number bro...
rubii JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 14,106 Reaction score 18,713 Sep 28, 2023 #14 Restless Hustler said: JamiiForums hakuna mke. Tangu mwaka juzi Nimeleta nyuzi 3 kwa nyakati tofauti. Bila bila Click to expand... Sasa wewe si mjumbe kamatu ya kataa ndoa🤣😁🤣😁🤣 mnadhani mabinti hawaoni??
Restless Hustler said: JamiiForums hakuna mke. Tangu mwaka juzi Nimeleta nyuzi 3 kwa nyakati tofauti. Bila bila Click to expand... Sasa wewe si mjumbe kamatu ya kataa ndoa🤣😁🤣😁🤣 mnadhani mabinti hawaoni??