Natafuta mke wa kweli

Mwamba tukikaa na wewe vizuri utatupa semina au kilichokukuta ni SIRI YAKO?

Kwa yaliyonikuta, nipo tayari kabisa Kwa gharama zangu kukaa chini na kuwaelezea kwamba Mwanamke, hapana, Bila Mungu na ukamilifu, hafai!
 
Mchungaji na nusu wewe ..
Maana hata huko wanakosema wapo wazuri ..wanasahau kwamba na waNa Jf ..wanatoka na wanaishi huko! .. .. hao hao waliopo huko ndio hawa hawa waliomo humu!
Au kuna mtaa au mji unaitwa Jf?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…