Habari wana JF.
Mm ni kijana mwenye umri wa miaka 26 , nimejiajiari na pia nina shahada ya kwanza ktk uchumi na SME's development. Natafuta mwanamke , ambaye tukiridhiana kitabia anaweza kuwa wife hapo baaadaye.Sifa zinazotakiwa.
1. Awe anajielewa katika dunia hii.
2.Awe mzuri wa wastani, kwa maana sitaki kuumizwa kama lucky dube katika'' is not easy''
3. AWwe ni mzuri wa tabia.
4. Elimu kuanzia form four na kuendelea.
Aliwe tayar Ani PM.