Ebeneza2018
Member
- Oct 8, 2017
- 16
- 52
Mkuu,Dunia inabadilika,Teknolojia inarahisisha mambo,Ebeneza unazingua, mke hatafutwi kama unatafuta chumba, kwanza toa hiyo namba, hakuna mwanamke atakupigia, unazunguka masokoni, kwenye misiba, stand za mabasi, makanisani wamejaa tele unaacha kusemezena nao unakuja kuomba invisible huku, jikague vizuri
Atayaweza mauno ya kimanyema huyo sitaki kesi ya mauaji!Ngoja nikuitie binti wa kimanyema,
Ila usisahau kuniteua kwenye harusi niwe msimamizi upande wa vinywaji.
BICHWA KOMWE -
Miaka 38 hadi sasa hujaoa aisee hii ni hatari sana ,Natafuta mwanamke wa kuoa mwenye umri kuanzia miaka 30-37,Dini awe mkristu,mwenye upendo wa kweli.
Sifa zangu
umri 38,mkristu,mpambanaji pia,. Tuwasiliane kwa namba 0722762837
karibu Sana tuanzishe familia ya upendo ,Aman,nafuraha.
UnaUjasiri....Natafuta mwanamke wa kuoa mwenye umri kuanzia miaka 30-37,Dini awe mkristu,mwenye upendo wa kweli.
Sifa zangu
umri 38,mkristu,mpambanaji pia,. Tuwasiliane kwa namba 0722762837
karibu Sana tuanzishe familia ya upendo ,Aman,nafuraha.
Hatari yake ni nini ?Miaka 38 hadi sasa hujaoa aisee hii ni hatari sana ,
All the bestNatafuta mwanamke wa kuoa mwenye umri kuanzia miaka 30-37,Dini awe mkristu,mwenye upendo wa kweli.
Sifa zangu umri 38,mkristu,mpambanaji pia,. Tuwasiliane kwa namba 0722762837. Karibu Sana tuanzishe familia ya upendo, Aman,nafuraha.
Humu hamna mke wa mtu jamani acheni uchonganishi 😁Humu wamejaa wake za watu. Shauri yako.
Kuna mmoja ana sifa zote ila ni Muislamu,Natafuta mwanamke wa kuoa mwenye umri kuanzia miaka 30-37,Dini awe mkristu,mwenye upendo wa kweli.
Sifa zangu umri 38,mkristu,mpambanaji pia,. Tuwasiliane kwa namba 0722762837. Karibu Sana tuanzishe familia ya upendo, Aman,nafuraha.
Kwanini asiongee nao huko huko masokoni sasa ambako unamuona mtu live alivyo unavutiwa naye naye anakuona kuliko kuja kubet huku mkuu, kuliko kuja kuomba mke huku ambaye ameweka picha fake haya amekukubalia siku ya kukutana mnaogopana usijekutana na kingkong yote ya nini hayo??Mkuu,Dunia inabadilika,Teknolojia inarahisisha mambo,
Waliopo huko masokoni ndio hawa hawa waliomo humu JF,
Muache jamaa awe huru kwa njia aliyoichagua yeye mwenyewe.
Allow him to do what works best for him,Kwanini asiongee nao huko huko masokoni sasa ambako unamuona mtu live alivyo unavutiwa naye naye anakuona kuliko kuja kubet huku mkuu, kuliko kuja kuomba mke huku ambaye ameweka picha fake haya amekukubalia siku ya kukutana mnaogopana usijekutana na kingkong yote ya nini hayo??