mkushi wa kushi JF-Expert Member Joined Apr 27, 2021 Posts 657 Reaction score 995 Apr 10, 2024 #2 Fursa hiyo dada zetu huyu sio wale wa KATAA NDOA
ephen_ JF-Expert Member Joined Oct 28, 2022 Posts 16,787 Reaction score 61,262 Apr 10, 2024 #3 Umri umeninyima mume😎
Atukuzwee Senior Member Joined Aug 6, 2017 Posts 150 Reaction score 281 Apr 10, 2024 Thread starter #4 ephen_ said: Umri umeninyima mume😎 Click to expand... Kama umezidi 30 noo ila kama uko below 30 ni Dm
ephen_ said: Umri umeninyima mume😎 Click to expand... Kama umezidi 30 noo ila kama uko below 30 ni Dm
ephen_ JF-Expert Member Joined Oct 28, 2022 Posts 16,787 Reaction score 61,262 Apr 10, 2024 #5 Atukuzwee said: Kama umezidi 30 noo ila kama uko below 30 ni Dm Click to expand... Nina 31! Mwaka 1 mbona hata sio nyingii
Atukuzwee said: Kama umezidi 30 noo ila kama uko below 30 ni Dm Click to expand... Nina 31! Mwaka 1 mbona hata sio nyingii
yellow java JF-Expert Member Joined May 3, 2022 Posts 1,283 Reaction score 2,332 Apr 10, 2024 #6 Hujasema kuhusu dini bobby..usije ukasumbua dada zetu aisee. Yaani unahitaji mke mwenye dini yoyote?
Y Yaleyale JF-Expert Member Joined Aug 21, 2011 Posts 1,797 Reaction score 2,410 Apr 10, 2024 #7 Mama wa mtoto yuko wapi? Au na yeye atakuja na mada ya kutaka mume!
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,105 Reaction score 165,329 Apr 10, 2024 #8 Mama wa mtoto yuko wapi dear, vikao vyote vimesisitiza kuona tuta kwanza.....
Atukuzwee Senior Member Joined Aug 6, 2017 Posts 150 Reaction score 281 Apr 10, 2024 Thread starter #9 ephen_ said: Nina 31! Mwaka 1 mbona hata sio nyingii Click to expand... Sasa wewe huoni tumelingana umri? Utazeeka uniache
ephen_ said: Nina 31! Mwaka 1 mbona hata sio nyingii Click to expand... Sasa wewe huoni tumelingana umri? Utazeeka uniache
Nyafwili JF-Expert Member Joined Nov 27, 2023 Posts 5,457 Reaction score 13,809 Apr 10, 2024 #10 Mbona hauja weka uzito mkuu , Una kg ngapi?? Wadada wa JF wengi wanapenda wanaume vibonge 🤒🤒
Atukuzwee Senior Member Joined Aug 6, 2017 Posts 150 Reaction score 281 Apr 10, 2024 Thread starter #11 yellow java said: Hujasema kuhusu dini bobby..usije ukasumbua dada zetu aisee. Yaani unahitaji mke mwenye dini yoyote? Click to expand... Dini yeyote sibagui dini
yellow java said: Hujasema kuhusu dini bobby..usije ukasumbua dada zetu aisee. Yaani unahitaji mke mwenye dini yoyote? Click to expand... Dini yeyote sibagui dini
Atukuzwee Senior Member Joined Aug 6, 2017 Posts 150 Reaction score 281 Apr 10, 2024 Thread starter #12 Evelyn Salt said: Mama wa mtoto yuko wapi dear, vikao vyote vimesisitiza kuona tuta kwanza..... Click to expand... Alishaolewa Mwaka 2021
Evelyn Salt said: Mama wa mtoto yuko wapi dear, vikao vyote vimesisitiza kuona tuta kwanza..... Click to expand... Alishaolewa Mwaka 2021
Dr Restart JF-Expert Member Joined Jul 15, 2021 Posts 4,961 Reaction score 24,187 Apr 10, 2024 #13 ephen_ said: Umri umeninyima mume😎 Click to expand... Upo below? Watoto mnafanya nini humu?
Atukuzwee Senior Member Joined Aug 6, 2017 Posts 150 Reaction score 281 Apr 10, 2024 Thread starter #14 Yaleyale said: Mama wa mtoto yuko wapi? Au na yeye atakuja na mada ya kutaka mume! Click to expand... Alushaolewa Mwaka 2021
Yaleyale said: Mama wa mtoto yuko wapi? Au na yeye atakuja na mada ya kutaka mume! Click to expand... Alushaolewa Mwaka 2021
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,359 Reaction score 108,501 Apr 10, 2024 #15 ephen_ said: Umri umeninyima mume😎 Click to expand... chini ya 25 sio mbaya 😊, anaweza akakubali...
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,121 Reaction score 1,249,302 Apr 10, 2024 #16 Single dad anatafuta hausgel wa kulea mwanae. All the Best
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,534 Reaction score 81,267 Apr 10, 2024 #17 Hivi hiyo 'HOFU YA MUNGU' ambayo huwa naona kwenye kila tangazo la kutafuta mwenza huwa inasomewa wapi au inauzwa wapi?
Hivi hiyo 'HOFU YA MUNGU' ambayo huwa naona kwenye kila tangazo la kutafuta mwenza huwa inasomewa wapi au inauzwa wapi?
Atukuzwee Senior Member Joined Aug 6, 2017 Posts 150 Reaction score 281 Apr 10, 2024 Thread starter #18 Numbisa said: Single dad anatafuta hausgel wa kulea mwanae. All the Best Click to expand... Mtoto anaishi na mama yake
Numbisa said: Single dad anatafuta hausgel wa kulea mwanae. All the Best Click to expand... Mtoto anaishi na mama yake
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,534 Reaction score 81,267 Apr 10, 2024 #19 Numbisa said: Single dad anatafuta hausgel wa kulea mwanae. All the Best Click to expand... Wewe ulishaolewa?
Numbisa said: Single dad anatafuta hausgel wa kulea mwanae. All the Best Click to expand... Wewe ulishaolewa?
Analyse JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 17,641 Reaction score 47,664 Apr 10, 2024 #20 ephen_ said: Umri umeninyima mume😎 Click to expand... Foji Cheti Cha kuzaliwa, unafeli wapi? 😅