Natafuta mke wa kuoa

Nahtaj mwanamke wa kuoa alie serios.umr wangu 27.nimejiajiri.mwanamke naemuhtaj awe mweupe kidogo mrefu kidogo asiwe mnene sana.sibagui dini. Nichek 0766507273 tuyajenge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka 27 unatafuta mke mtandaoni ???
Kwamba unaishi porini ?
Kwamba hujawahi kushiriki tendo na mwanamke/wanawake ? (Oa mmoja ya wale uliolala nao).

Nashangaa sana nikiona kijana wa miaka 25+ anatafuta mwanamke wa Kuoa mtandaoni au anamuagiza mtu "nitafutie mke wa kuoa huko" au wengine utakuta anapeleka posa kwa mwanamke ambaye hajawahi kuongea naye ila kwakua anaona anapendeza mzuri yeye anapeleka proposal tu.

N.B, vilio kwenye ndoa havitoisha msipoacha huu ujinga wa kutafuta mke/wake mitandaoni na kuoa msiowafahamu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom