Natafuta mke wa kuoa

Unatafuta MKE? wa kuoa?!!! Hivi Mke anaolewa tena Mara ya Pili? Napata ukakasi na hicho chuo kikuu!

Sema unatafuta Mwana-mke.
 
HABARI WANA JF NAJITOKEZA KWA MARA YA KWANZA KUTAFUTA MKE WA KUO.

JINA:Erickson
UMRI: Miaka 31,
KABILA: mkonongo,
DINI: Mkristu,
NCHI NAYOISHI:Tanzania,
UREFU : FT5.6,
RANGI : Mweusi,
ELIMU: Chuo kikuu,
KAZI :Mwajiriwa,
SIGARA: Situmii,
POMBE : Situmii,
JINSIA: MWANAUME,

Mwanamke ni mtakae awe na mapenzi ya dhati na anaye jua nini maana ya ndoa, Sina ubaguzi wa aina yeyote ile juu ya Elimu, kabila, Dini,kama anamtoto haina shida nacho jali ni upendo.Alie tayari ani PM au tuwasiliane kwanamba ifuatayo 0623058413 karibu Sana, Nacho jua mke anapatikana popote kwenye daladala, mskitini, kanisani, kazini n.k,Kwahiyo hata hapa Jf nipo sahihi kuandika hitaji langu,

Asante Nahitimisha.
mh
 
Hua nna wasiwasi sana na mwana wa kiume ambae hajawai na hatumii kilevi......maana hua nahisi starehe yake ni weka mbali na watoto.
 
Ww na usomi wako wote umeona wapi au kusikia mke ambaye hajaolewa au unatafuta mke wa mtu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom