Natafuta mke wa kuoa ambaye ni mcha mungu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta mke wa kuoa ambaye ni mcha mungu

Discussion in 'Love Connect' started by Muggssy, Jan 26, 2012.

 1. M

  Muggssy Member

  #1
  Jan 26, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Natafta mke wa kuoa ambaye yupo commited na god fearing awe tayari kuolewa na si kuchezeana. Awe mkristo na umri between 21-25 aliye tayari anitumie email kwenye marko7us@gmail.com
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Humu wote wana wa2 wao.
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Jan 26, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,403
  Likes Received: 5,678
  Trophy Points: 280
  Sio jf dear
   
 4. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #4
  Jan 26, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,161
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  hao wa god fearing ni wachache,wapo wa God fearing wengi
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Jan 26, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,403
  Likes Received: 5,678
  Trophy Points: 280
  Usije kaa ukampenda mtu jf loh
  utapendwa na mwanaume mwenzako bila kujua pengine ukaja jua mko na dte guest house
  loh
   
 6. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #6
  Jan 26, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kweli JF never boring! khaa?
   
 7. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #7
  Jan 26, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mkuu,yaani wanawake wote waliojazana huko mabarabarani hujawaona na badala yake umekuja kuwatafuta wa JF?
  Hata hivyo zingatia ushauri uliyopewa na Pididy
   
 8. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #8
  Jan 26, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,403
  Likes Received: 5,678
  Trophy Points: 280
  Huku woteee wameshikilia ak47 wanatafuta wa kurushia risasi kazi kwako kama uko poa kufanayo
  rip rafiki
   
 9. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #9
  Jan 26, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  siku hizi madada wenyewe weshashtukia ujanja wa watu kutangaza ndoa mapema kwamba ni janja ya nyani tu
   
 10. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #10
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,403
  Likes Received: 5,678
  Trophy Points: 280
  cartura yalikukura nini???
   
 11. Binti Magufuli

  Binti Magufuli JF-Expert Member

  #11
  Jan 27, 2012
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 7,457
  Likes Received: 757
  Trophy Points: 280
  Angalia sana, mwenzako alitokea kigoma hadi zanzibar akayeyushwa.....shauri yako
   
 12. knownless

  knownless Senior Member

  #12
  Jan 27, 2012
  Joined: Dec 23, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mkuu kwanini usijiunge kwenye kwaya ya kanisa unalo sali?......hapo lazima ung'oe kidosho wa ukweli
   
 13. roby2006

  roby2006 JF-Expert Member

  #13
  Jan 27, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 399
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Huku umepotea njia kaka
   
 14. segere

  segere JF-Expert Member

  #14
  Jan 27, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 518
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  ..huyu hapa mke tena ana mvuto balaa mtafute kwa wakati wako coz umetoa e-mail address nami nakupa yake:hii_sioFB@ondoa ujinga wako.usirudietena/Pdidy -kasemakweli.com
   
 15. M

  MR NICO MUNISHI New Member

  #15
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 21, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  acha utan we huku huwez kupata mke bugurun wamejaa kaka
   
Loading...