Sweet16 JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 6,154 Reaction score 11,211 Jul 18, 2026 #61 maandamano said: ndiyo wazazi wake wapo,hakuna maisha tena mimi na yeye,ninamiezi minne niko peke yangu Click to expand... Miezi 4! Ukioa mwingine akapata changamoto ya kiafya pia utarudisha kwao maana hujafa hujaumbika
maandamano said: ndiyo wazazi wake wapo,hakuna maisha tena mimi na yeye,ninamiezi minne niko peke yangu Click to expand... Miezi 4! Ukioa mwingine akapata changamoto ya kiafya pia utarudisha kwao maana hujafa hujaumbika
S Superb2014 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 10,410 Reaction score 8,704 Jul 24, 2026 #62 Kila lakheri kwako.
Zimba XXV JF-Expert Member Joined Jul 12, 2015 Posts 1,861 Reaction score 4,302 Jul 24, 2026 #63 Nenda Dodoma hapo Wagogo kibao tafuta kigoli mmoja tuu umpige sopu sopu Maisha yaendelee