Natafuta mke wa kumuoa

This is Mambaz 24, haikwepeki, we live our life men, you bera watch your back, you punch me once I punch you tripo, unataka kupiga miti sio
 
Financial Analyst na Chizi Maarifa hii ndo nafas yenu kutoka hapo kwenye jumba la mzee kikala
 
Hahah
 
Kwa umri huo kupata mke mbona easy mzee wangu,hapo Ili mambo yasiwe mengi tafuta singo maza mwenye miaka 38-45 na huko iringa wapo wengi sana
Usitake kujibebesha kitoto Cha 2000 kitakusambaratisha mapema sana kwenye uso wa dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…