maandamano
JF-Expert Member
- Nov 12, 2025
- 686
- 1,491
ndiyo wazazi wake wapo,hakuna maisha tena mimi na yeye,ninamiezi minne niko peke yanguKwahiyo hapo mkuu mke wako anaweza kuwa na miaka kama 40 hivi,
Sasa umemrudisha kwao wazazi wake wapo??
Umewabwagia mzigo wakwe zako, siyo?Kwa nini usiendelee kumtunza na kumsitiri mwenzi wako?ndiyo wazazi wake wapo,hakuna maisha tena mimi na yeye,ninamiezi minne niko peke yangu
Niko mpweke sijui nianzie wapiMbona wapo wengi sana wanatafuta mme ila ni masingle mama.
Wa kwanza ulimpataje ankal?Niko mpweke sijui nianzie wapi
Sikusoma sana kipindi hicho labda pamoja na kukaa mda mwingi bila kuandika kiswahiliMzee wa miaka 50 unaandikaje UMELUDI!!?
Kama ana franga mwandiko utapendwa tu.Kwa huu muandiko utapata tabu sana
Umeshawahi kumuuguza mtu mwenye changamoto ya akili?Umewabwagia mzigo wakwe zako, siyo?Kwa nini usiendelee kumtunza na kumsitiri mwenzi wako?
Au sioSikusoma sana kipindi hicho labda pamoja na kukaa mda mwingi bila kuandika kiswahili
Tulikutana kwenye utafutaji tukiwa inje ya Tanzani mwaka 2000Wa kwanza ulimpataje ankal?
Mimi baba yako siyo dogoDogo Fanya kazi acha ujinga
Siyo mara moja tu.Mtunze mwenzi wako.Ukioa mwingine akipata changamoto utamrudisha kwao?Vipi akipata utajiri,utamrudisha kwao?Umeshawahi kumuuguza mtu mwenye changamoto ya akili?
miaka 50 unamuita dogo!Dogo Fanya kazi acha ujinga
aweke certificate of birth hapa lasivyo ni dogo tumiaka 50 unamuita dogo!
Labda hayajakukuta ndiyo maana unaona vitu rahisiSiyo mara moja tu.Mtunze mwenzi wako.Ukioa mwingine akipata changamoto utamrudisha kwao?Vipi akipata utajiri,utamrudisha kwao?