Sanga Imma
Senior Member
- Apr 8, 2016
- 176
- 73
Naitwa Imma Sanga natafuta mke wa kumuoa, dini yoyote ila awe na hofu na Mungu. Awe na umri wa miaka 20-26, mimi nina umri wa miaka 30.
Anitafute DM.
Anitafute DM.
ahaaa mkuu sawa hilo dongo hatar ila hizo fikila zako wewMiaka 30 bado haujui kutongoza daah kijana wa ovyo kabsa kuwahi kutokea kwa kizazi chako
kila mtu anamtazamo wake na bahat zakeUkiwa domozege huwezi kupata mke kirahisi hivyo....Labda upate Muke
unataka picha auTuma picha yako
sawa mkuuKila la heri japo utapata girl friend
kwel etcheki mtaani hapo, mbona wapo kibao au uko Pluto ?
huku utapata nungayembes
mtu awe anajiheshimKuwa na hofu ya Mungu ndio kuwaje?
Kwahiyo kujiheshimu tu inatosha kuwa ni mtu mwenye hofu ya Mungu sio?mtu awe anajiheshim
Hebu mpe nafasi kijana mwenzio, haya maswali mengine mbele ya safari.....Kwahiyo kujiheshimu tu inatosha kuwa ni mtu mwenye hofu ya Mungu sio?
Hannah Jamaa kashindwa kutafsiri ya kuwa na hofu ya Mungu maana yake ni kufanya mambo yanayompendeza MunguKwahiyo kujiheshimu tu inatosha kuwa ni mtu mwenye hofu ya Mungu sio?
Unatutenga!Hebu mpe nafasi kijana mwenzio, haya maswali mengine mbele ya safari.....
dada unamaswal magum sana ila wew kama unajielewa utajua hof ya mung ni ipiKwahiyo kujiheshimu tu inatosha kuwa ni mtu mwenye hofu ya Mungu sio?